Igizo la Corona limeishia wapi?

Igizo la Corona limeishia wapi?

Mkamtukana ngosha kisa alipinga lock down sasa hivi ngosha 5 WHO-0 pambano linaendelea
Mabeberu na mashetani hayajui wapi pa kushika baada ya machanjo yao kubuma na ajenda zao za siri kubumburuka.

Wamebaki tu kupiga propaganda na porojo za kukata tamaa!

Sisi huku shwari tu, tunawacheki kwa mbalii tunasema Hiiiiiiiiii...
 
Kwa Tz ilikuwa vita tu na JPM,maana hata wale waliokuwa wanasema misongamano kwanini inaruhusiwa,saizi wale wanaharakati siwaoni tena......... JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia nchi hii inawanafiki wengi sana na hawana hata aibu
JPM nilimkubali hapo asee, maono plus msimamo.

Yaani angetupiga lock down... Sijui ingekuwa vipi asee.
 
Hii isidingo ya corona mbona kama vile imefika tamati bila wadau kupewa taarifa rasmi?

Zile mbwembwe za machanjo na mabarakoa zimeishia wapi?

Ati ooh watu watakufa kama kumbikumbi sijui nini! Kiko wapi?

Bado kitambo kidogo tutajua tu ukweli wa hii movie ya kihindi.

Siku hizi sioni tena mabarakoa yakivaliwa?
Mungu anajua kuumbua watu. Yaani Mama Yetu Samia alivyokomalia chanjo utadhani ndiyo yeye anajua zaidi kuhusu COVID-19. Yaani aliyoyasema Dkt Magufuli yote yamekuwa kuwa hivyo hivyo na Mama alikuwa sehemu ya huo mpango ila kwa sababu Mungu huwa hapendi unafiki alimchukua mapema Dkt Magufuli akabaki Mama kaonesha uhalisia wake na kulazimisha watu kuchoma sindano na matokeo yake dunia sasa haiongelei chanjo bali kuishi na ugonjwa
 
True ni baada ya ibilisi kupata hasara ya kupigwa kombora moja zito hatari sana akapoteza watendaji Kazi wake wengi kuzimu nae kwa hasira akaamua kurevenge duniani kwa kuleta corona Ili avune watu wengi ndani ya mda mfupi Sana kufidia watu wake waliokufa.
Wenye macho ya kiroho waliona hilo.Magufuli aliona hilo akawaambia watz Hakuna corona ni michezo hio watu waombe,wengi awakumuelewa,baadhi ya watu wa dini nao walioona huu mchezo, hata Mimi nilikuwa against Jpm nilipozama chimboni kutafuta maarifa katika ulimwengu usioonekana, nikaja kumuelewa Magufuli alikuwa sahihi.
Hii ni michezo ya darksiders.
Ishu za corona, majanga mbalimbali, sijui mabadiliko ya tabia nchi, na mengine yajayo. Ni michezo tu ya darksiders
Bado tu hawajafunga uzi kwa majibu murwa kabisa haya yako [emoji848][emoji847]
 
JPM nilimkubali hapo asee, maono plus msimamo.

Yaani angetupiga lock down... Sijui ingekuwa vipi asee.
Kwa hilo hawezi kusahaulika,lock down ingeleta maafa zaidi.... asilimia kubwa maisha ya familia zetu ni mpaka utoke ndiyo urudi na kamfuko home...... wengi hatuna surplus hata ya kutoboa siku 3 tu......
 
Kuna wanafiki kipindi cha Magufuli walikuwa wanalilia Lockdown, lakini huwezi amini sasa hivi wao ndio vinara wa maandamano uchwara na mikusanyiko ya kisiasa kila pahala.

Ooohhhh tunataka Lockdown!!!!

Wapiii!!
 
Ukipita kwa barabara ukakuta mtu kagongwa kafariki huwezi umia wala kusikitika sana sabu sio muimu kwako ila ukipita barabaran ukakuta ndugu/ rafiki yako kagongwa kafariki utataka kumjua nan kamgonga na yuko wap na km yuko chini ya ulizi wa polisi

Sasa ni km corona kwakua ujayaona madhara yake unaleta kebei zako apa unaliita janga la dunia sarakas ila ambao limewagusa wanajua na wamenyamaza na maumivu yake wanayajua

Tunavyoongea saiv Chini miji mingi watu wako lock down ad saiv na kuna majiji mengne yana idadi kubwa za watu yamefungwa yako lockdown
Ata nchi ambazo zinakusaidia ww tanzania ktk maendelea yako na bajeti meng bado yanapambana na corona na watu wako lockdown km
 
Ujinga mtupu!

Rubbish!
 
Back
Top Bottom