lawyer lawyer
Senior Member
- Jul 29, 2012
- 147
- 41
Igonarance of law is not an excuse or a defence.
Habari zenu wa jf, kutokana na sababu mbali mbali ambazo nina experience nazo kwakutana mara kwa mara kwenye routine zangu nje na ndani ya mahakama zime nisukuma nitoe somo hili dogo ili watu wasiendelee kuangamia kwa kukotoa utetezi ambao huwa maliza mbele ya mahakama na kuwafanya kufungwa kifungo cha namna yoyote ile.
Kwanza kabisa napenda mtambue kuwa sheria zetu zina tutambua kama tunazifahamu na kuzilinda hivyo unapo enda mahakamani na ku plead ignoratia of law niku thibitisha kuwa umetenda kosa hilo uliloshatakiwa nalo na yur guilty of the charge. Nakitakacho fwata baada yahapo ni mahakama ku pass sentence dhidi yako.
Nina maana kuwa, unaposhitakiwa kwa kosa lolote lile nakufika mahakamani na kusema kuwa ulikuwa hujui kuwa tendo hilo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Hiyo defence haiwezi kuishawishi mahakama ili ikuachilie huru, bali itakutia hatiani kwa kosa hilo. Kwa kuwa ulipaswa kujua sheria inasemaje juu ya tendo hilo kabla hujalifanya.
Sheria zinakutambua kama wewe ndiye mwenye wajibu wa kuzitafuta, kuzipata, kuzisoma, kujifunza, kuzielewa, na kuzitumia ili ziweze kukusaidia.
Kabla hujachukua hatua yoyote, mahali popote, ktk jambo lolote ili kutimiza kusudi lolote lile, unapaswa kujiuliza maswali muhimu kama...:-
Je ninahitaji nini au nina tatizo gani?
Je sheria inasema nini kuhusiana na ninachokihitaji?
Je nina haki gani kwa mujibu wa sheria?
Je nina wajibu gani kwa mujibu wa sheria?
N.k.
NB: kuna mtu anakuwa ana kesi mahakamani, kesi inakuwa imesha sikilizwa pande zote mbili sasa mshitakiwa anapewa nafasi ingine ya kujitetea kabla ya hukumu kutolewa.
Pasipo aibu unakuta mtu anaiomba mahakama imuachilie huru kitu ambacho akiwezi kutokea.
I hope that will help you.