Ignorancia juris Non Excusat

Ignorancia juris Non Excusat

lawyer lawyer

Senior Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
147
Reaction score
41
Igonarance of law is not an excuse or a defence.
Habari zenu wa jf, kutokana na sababu mbali mbali ambazo nina experience nazo kwakutana mara kwa mara kwenye routine zangu nje na ndani ya mahakama zime nisukuma nitoe somo hili dogo ili watu wasiendelee kuangamia kwa kukotoa utetezi ambao huwa maliza mbele ya mahakama na kuwafanya kufungwa kifungo cha namna yoyote ile.

Kwanza kabisa napenda mtambue kuwa sheria zetu zina tutambua kama tunazifahamu na kuzilinda hivyo unapo enda mahakamani na ku plead ignoratia of law niku thibitisha kuwa umetenda kosa hilo uliloshatakiwa nalo na yur guilty of the charge. Nakitakacho fwata baada yahapo ni mahakama ku pass sentence dhidi yako.

Nina maana kuwa, unaposhitakiwa kwa kosa lolote lile nakufika mahakamani na kusema kuwa ulikuwa hujui kuwa tendo hilo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Hiyo defence haiwezi kuishawishi mahakama ili ikuachilie huru, bali itakutia hatiani kwa kosa hilo. Kwa kuwa ulipaswa kujua sheria inasemaje juu ya tendo hilo kabla hujalifanya.

Sheria zinakutambua kama wewe ndiye mwenye wajibu wa kuzitafuta, kuzipata, kuzisoma, kujifunza, kuzielewa, na kuzitumia ili ziweze kukusaidia.

Kabla hujachukua hatua yoyote, mahali popote, ktk jambo lolote ili kutimiza kusudi lolote lile, unapaswa kujiuliza maswali muhimu kama...:-

Je ninahitaji nini au nina tatizo gani?

Je sheria inasema nini kuhusiana na ninachokihitaji?

Je nina haki gani kwa mujibu wa sheria?

Je nina wajibu gani kwa mujibu wa sheria?

N.k.

NB: kuna mtu anakuwa ana kesi mahakamani, kesi inakuwa imesha sikilizwa pande zote mbili sasa mshitakiwa anapewa nafasi ingine ya kujitetea kabla ya hukumu kutolewa.
Pasipo aibu unakuta mtu anaiomba mahakama imuachilie huru kitu ambacho akiwezi kutokea.

I hope that will help you.
 
Nina maana kuwa, unaposhitakiwa kwa kosa lolote lile nakufika mahakamani na kusema kuwa ulikuwa hujui kuwa tendo hilo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Hiyo defence haiwezi kuishawishi mahakama ili ikuachilie huru, bali

Asante MKUU kwa Elimu. Cheers!
 
lawyer lawyer mimi na wewe wa kustahili kwenda chuoni nani,sheria uliyojifunzia kwenye experience ya wenda mahakamani ndiyo inakuambia uji-defend kwa kuwaatack watu kwa maneno yasiyofaa? Tukiwekwa kwenye mizania ya kupimwa upuuzi nadhani nitaongezewa mtu mmoja kama wewe ili mlinganyo uwe sawa!
 
Last edited by a moderator:

Eti mimi na wewe nani wa kwenda darasani..?

Iam a lawyer by professional kutoka chuo kikubwa hapa hapa nchini.
Alafu i cannot keep answering you back, it is not my style and its out of my carrier ethics.
Tafuta mtu mwingine kwenye post nyingine. Hiyo post yangu nazani huja ielewa vizuri but i can tell you that, my post niya kutoa uelewa wa ignorance of law na sio yakutaka comments kama unavyo zani.
Jifunza kupambanua vitu kabla huja ingia kichwa kichwa.
 
Last edited by a moderator:
Eti mwanasheria kutoka chuo kikubwa,sheria Tanzania? Sheria walisoma wakina Chenge Havard ila ndiyo wametufikisha tulipo...Ni majivuno tu kama kawaida 'yenu' mnaodhani mmefika,nyinyi ndo hamchelewi kugeuzwa punda wa kubeba mizigo ya inayoishia kuwadhalilisha kila kukicha..
 
Eti mimi na wewe nani wa kwenda darasani..?

Iam a lawyer by professional kutoka chuo kikubwa hapa hapa nchini.
Alafu i cannot keep answering you back, it is not my style and its out of my carrier ethics.
Tafuta mtu mwingine kwenye post nyingine. Hiyo post yangu nazani huja ielewa vizuri but i can tell you that, my post niya kutoa uelewa wa ignorance of law na sio yakutaka comments kama unavyo zani.
Jifunza kupambanua vitu kabla huja ingia kichwa kichwa.

Chuo kikubwa my skin!
 
Gurta hawa ndo kina Yahaya wenye mbwembwe kibaooo kumbe bamia tu! Ooh nimesoma sana leta vyeti vyako hapa tuhoji kama ulisoma Kireno ama Kiitaliano ndo maana hata nadhani na nazani hujui tofauti zake kisarufi!
 
Last edited by a moderator:
Eti mimi na wewe nani wa kwenda darasani..?

Iam a lawyer by professional kutoka chuo kikubwa hapa hapa nchini.
Alafu i cannot keep answering you back, it is not my style and its out of my carrier ethics.
Tafuta mtu mwingine kwenye post nyingine. Hiyo post yangu nazani huja ielewa vizuri but i can tell you that, my post niya kutoa uelewa wa ignorance of law na sio yakutaka comments kama unavyo zani.
Jifunza kupambanua vitu kabla huja ingia kichwa kichwa.

mashauzi mengi mpaka unajisahau, professional ndio nini, i hope you meant to say profession (sic) , halafu hicho chuo kikubwa ndio kipi na kidogo ni kipi, slow down young fella..
 
mleta mada umenikumbusha mbali sana hasa pale prof shaid akifanya yake mwanzoni kabisa kwenye criminal law pale udsm...hongera kwa hilo
 
Igonarance of law is not an excuse or a defence.
Habari zenu wa jf, kutokana na sababu mbali mbali ambazo nina experience nazo kwakutana mara kwa mara kwenye routine zangu nje na ndani ya mahakama zime nisukuma nitoe somo hili dogo ili watu wasiendelee kuangamia kwa kukotoa utetezi ambao huwa maliza mbele ya mahakama na kuwafanya kufungwa kifungo cha namna yoyote ile.

Kwanza kabisa napenda mtambue kuwa sheria zetu zina tutambua kama tunazifahamu na kuzilinda hivyo unapo enda mahakamani na ku plead ignoratia of law niku thibitisha kuwa umetenda kosa hilo uliloshatakiwa nalo na yur guilty of the charge. Nakitakacho fwata baada yahapo ni mahakama ku pass sentence dhidi yako.

Nina maana kuwa, unaposhitakiwa kwa kosa lolote lile nakufika mahakamani na kusema kuwa ulikuwa hujui kuwa tendo hilo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Hiyo defence haiwezi kuishawishi mahakama ili ikuachilie huru, bali itakutia hatiani kwa kosa hilo. Kwa kuwa ulipaswa kujua sheria inasemaje juu ya tendo hilo kabla hujalifanya.

Sheria zinakutambua kama wewe ndiye mwenye wajibu wa kuzitafuta, kuzipata, kuzisoma, kujifunza, kuzielewa, na kuzitumia ili ziweze kukusaidia.

Kabla hujachukua hatua yoyote, mahali popote, ktk jambo lolote ili kutimiza kusudi lolote lile, unapaswa kujiuliza maswali muhimu kama...:-

Je ninahitaji nini au nina tatizo gani?

Je sheria inasema nini kuhusiana na ninachokihitaji?

Je nina haki gani kwa mujibu wa sheria?

Je nina wajibu gani kwa mujibu wa sheria?

N.k.

NB: kuna mtu anakuwa ana kesi mahakamani, kesi inakuwa imesha sikilizwa pande zote mbili sasa mshitakiwa anapewa nafasi ingine ya kujitetea kabla ya hukumu kutolewa.
Pasipo aibu unakuta mtu anaiomba mahakama imuachilie huru kitu ambacho akiwezi kutokea.

I hope that will help you.

paralegal yahaya
 
learned brother/sister please don't argue with a senior lay person in a point of law because the public will not notice the difference between them
 
Ndiyo maana mimi huwaza kuwa Sheria ilpaswa kufundishwa kama Development Studies (DS) ilivyo compulsory na kwa kozi zote, Mtu akitaka kupractice Mahakamani na kwingineko, basi kuwe na hizo bodi zinazosimamia hiyo taaluma na asome zaidi kubobea.

Vinginevyo tutakuwa tunanyanyasa baba na mama zetu waliotusomesha kwakuwa tu hawajui.....Pia hii nadhani ni copy and paste ya wenzetu wenye jamii iliyoelimika zaidi.

mashauzi mengi mpaka unajisahau, professional ndio nini, i hope you meant to say profession (sic) , halafu hicho chuo kikubwa ndio kipi na kidogo ni kipi, slow down young fella..

Hawa wanasheria wa bongo wanapenda sana mashauzi na hivyo viingereza vya vibovu vibovu.
 
Nikupongeze sana mkuu lawyer lawyer kwa kutumia muda wako kutoa elimu hii kwa sisi wachache ambao hatuna uelewa..achana na kejeli za Horseshoe Arch na bwn Gurta ni kejeli za kawaida sana ndani ya JF ambazo mara kadhaa zimekua zikichosha na kuondoa mantiki nzima ya uzi husika,..sasa sijui wanataka kutuonesha nini kwamba wao wanajua sana ama nini..mbona hawakuja na uzi wa kuelimisha kama huu? temana nao!..
 
Last edited by a moderator:
Adrian Stepp umedandia bajaji kwa mbele, utaumbuka...ungekuwepo tokea mwanzo wa post ungejua makosa yake na namna asivyokuwa msikivu! Kuna posts zimefutwa...Alikuwa na lengo zuri,akakosea kuliwasilisha,alivyosahihishwa akachafua hali ya hela,baas tukamuunganishia tela,ana bahati maana vita ya maneno inaumiza kuliko ya vitu vyenye ncha kali!
 
Last edited by a moderator:
Mtaibiwa hvo hvo eti viingeza for what??hakuna kitu kibaya kma ukoloni wa kifikra..nadhani mgerekebisha mada aliyoleta ma si lugha alioutumia..hvi uwa mnajiskiaje akina putin wanavotumia kirusi kupresent mambo yao kwenye ma conference makubwa?ama nmadhani kiingereza awakijui..n by the way mleta mada ni mwanasheria na si mtu wa lugha..
 
Back
Top Bottom