Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Ujue kuna watu wanakera.
Kupingana kwa hoja sio shida, shida ni kuleta vioja ukataka watu waone ni hoja.

Siwezi ignore mtu ambaye napishana nae mtazamo, bali anayelazimisha bila hoja tena kwa kejeli ukubaliane naye.
 
Ujue kuna watu wanakera.
Kupingana kwa hoja sio shida, shida ni kuleta vioja ukataka watu waone ni hoja.

Siwezi ignore mtu ambaye napishana nae mtazamo, bali anayelazimisha bila hoja tena kwa kejeli ukubaliane naye.
Mimi naona kwa kuwa wapinzani wa Bongo majimbo yao yako Twitter, Jf na Whatsapp basi watwange block wanaccm wote

Itasaidia sana,
 
Nilipigwa ban ya wiki kwa sababu ya member mmoja anayeonekana mungu-mtu humu JF. Jamaa ni mweupe kichwani halafu ana kauli mbaya. Naanza na huyo, nafatisha na watu kibao waongo na wenye matusi.

Kuna watu wanakera lakini tunaishi nao, mtu kama Bia yetu sikubaliani nae kabisa lakini sijawahi ona anatoa lugha chafu hata umkosee vipi.
Humjui vizuri, nimezinguana nae mimi kanitukania mama yangu
 
Naomba mlitazame na mnipe briefing..

Najua zamani video zilikuwa shida sababu ya server..Ila now naamini sio tatizo.
Na dunia inazidi kwenda kwenye video sharing
Kuliko text.. JF naomba iende na wakati
YouTube .tick tock na other apps lazima JF
Iweze kwenda na wakati
Hahahaaa mkuu kumbe ulianzia kuomba huku hadi ikafikia kutufungulia uzi kabisa, ila uzi wako wa tik tok imeleta balaa mtamu sana ule uzi, kuna moja dada anacheza wimbo wa nikikupea utawezana yaani nimemwelewa kweli
 
Hiyo ni idea nzuri ila nikifikiria kuhusu Forums kama za Premium Members na Great Thinkers zilivyokuwa zamani na sasa jinsi zilivyo sasa (Kama bado zipo / ipo) kudumu kwake hiyo forum itakuwa na changamoto sana

Maxence Melo access ya kwenye jukwaa la Great Thinker nilishaomba ila mpaka leo kimya




Maxence Melo mtu atajua kuwa ID fulani imemuweka kwenye ignored list?
Great thinker siku hizi ni genge la democrats kumtukana trump...... yani wanaongea kashfa na maneno hovyo hadi unajiuliza hawa ni great thinkers?......


btw, they dont reason (most of them), wanaongozwa na hate[emoji1787]
 
Back
Top Bottom