Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Maxence Melo Ume create tension ambao haikuwa na ulazima huo mfano wako unaoneka kama ulikuwa unajaribu kudeliver ujumbe fulani Huyo USSR anajulikana ni Praise team sasa hakukuwa na haja kumtolea mfano mana nimepita nyuzi zake kadhaa watu wanamuambia ndo mana ametolewa mfano kwenye Uzi wako huu, Kuna Famous wengi humu ungewatumia ila sio USSR mana naamini pia atakuwa amekuwa affected psychologically
Akibadirisha jina utamjua
 
Nashukuru Mkurugenzi wa JF ndugu M.M alitoa darsa namna ya kumu ignore USSR.ni wazi watu wengi wamekuwa wakitaka kufahamu hilo.wengi wameonekana kufurahia jambo hilo na haraka kufanya hivyo.

Swali!
Je kutokana na Mkurugenzi wa JF kuona umuhimu wa kutoa maelekezo jinsi ya kuwa ignore watu ambao tunaona sisi wengine ni hopeless.Je haoni ni wakati sasa wa kutoa maelekezo mengine tena jinsi ya kumu ignore Chizi Maarifa , Magonjwa Mtambuka , Bia yetu na wengine kadri watakavyotajwa na member humu ndani? Natanguliza shukrani.
 
Dunia hii lazima iwe na watu sampuli mbalimbali ili ikamilike Sasa mie na misimamo yangu maoni ya mtu hayawezi ni change kabisa
Nitakuwa nakughasi nione kama hutanipa ignore!
 
Hivi watu mnatumia vigezo gani kujipambanua humu kwamba nyie ni bora wengine ni wa kuwa ignore hadi mnawafungulia thread?

Ccm imechokwa mkuu! Sio kujipambanua wala nini!...wanatuchezea rafu sana!bora liwalo na liwe!
 
4.JPG
 
Sio kweli mkuu! Kama ingekuwa hivuo mbona minyuzi mingi ya ccm iko tu inaelea angani!?

Ni kweli kabisa mkuu nyuzi za CCM zipo nyingi, lakini hebu tazama hata wewe unavyoziita ‘minyuzi’ ni kama ya hovyo na hayakustahili kuwepo... huo ndio mtazamo wa walio wengi kuwa CCM ni ‘wasaliti’ na wanaojinasibu kuitetea hushambuliwa sana.

Mifano mingi tunaijua ya wale kindakindaki, katika hiyo ‘minyuzi mingi’ utaona tofauti za mawazo kati yao na upande wa pili... hizo tofauti ni afya kwa mijadala na sio chuki na kupuuzana (ignore list).

Cheers [emoji1635]
 
Back
Top Bottom