Wakuu,
Kumekuwepo maombi ya wadau wakitaka kuweza kutoona aidha wanachoandika watu flani au kutoona content kutoka forum flani au contents za thread flani tu.
Naam, tumelifanyia kazi hili na sasa unaweza kufanya hivyo.
ZINGATIA: Ignore list yako inakuwa hapa mara zote
https://www.jamiiforums.com/account/ignored
MFANO katika PICHA:
Ukitaka kutoona mada za mdau flani (kumradhi
USSR nimekutumia kwa mfano), basi bonyeza jina lake utaona option ya IGNORE - bonyeza hapo.
View attachment 1463904
Ukitembelea profile yako, eneo la
IGNORE list utaona hivi:
View attachment 1463905
Kama unataka kutoona contents za forum flani, unaenda kwenye forum husika na utaona kuna hiyo button ya IGNORE; bonyeza na utaona hivi:
View attachment 1463903
View attachment 1463909
Aidha, unaweza kuchagua ku-IGNORE thread moja moja badala ya forum nzima ili uweze kupata kile kitu unataka.
View attachment 1463907