Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika tena vibroken uone. Hata hivyo imesaidia siku hizi umeacha kuwakosoa watu kingereza baada ya kukuthibitishia hata wewe haujui.Kuna mdada Fulani humu alianza kunishobokea sana Mara akanifollow,ila shobo zikawa nyingi,nilichokifanya ni kumblock kabisa,biashara ikawa imeishia hapo,sipendi upuuzi mid,ebboh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana, moja ya vijana ambao wanapaswa kua mfano kwa wengine ni wewe.
Mimi binafsi ulinishangaza sana ile siku nimewaPM na niseme wazi ulinifundisha kitu kikubwa sana pasipo wewe kujua.
Nmewatext mishale ya saa nne ivi, umenijibu kulingana na Suluhisho .
Sikuridhika bado nikahitaji mfanye navyohitaji.
Naamka asubuh, nakuta Mida ya saa Saba usiku, mkuu Melo umenijibu kua shida yangu imetatuliwa.
Suala lilonishangaza sio Kunijibu, bali ni huo.muda yaan SAA SABA.....
Kijana ambaye una familia yako, CEO wa JF nilitegemea utakua umelala na wakunijibu ni Mods .
Lkn ukanijibu wewe muda huo wa Saa saba, hii ikimaanisha, toka ule muda nawatext hukulala, bali uliamua Kuhakikishia hitaji la mteja wako unalikamilisha na ukaamua kutoa response .
Brother nina mengi yakuandika kuhusu hili tukio, ila niseme WEWE NI KIJANA MAKINI KATIKA VIJANA WALIOMAKINIKA.
Kumbe wenye mafanikio wote hujali muda, sio watu wa usingizi, hawapendi kupoteza wati wao , ni wachapakazi, wanapenda mtu aridhike.
... Basi Anzisha mfuko jamii, nikiwa kama mdau nitakuunga kwa mia mia , siku moja nikuone unatoa msaada kwa vituo mbalimbali vya watoto yatima .
Uishi maisha marefu, uyatimizie ndoto zako , uache Njozi ilofanyika kweli ambayo itaishi milele na kumbukumbu kwa vizazi .
Mabadiliko yanakuja kwa spidi mpaka raha...
Hongereni wakuu
Hapa kijiwe cha kisasa mzee.JF sio sehemu 'rasmi' kwa vigezo gani?
-Kaveli-
Dark Mode Master Race!Asante mkuu wangu. Imebidi tufanye hivi ili kuboresha huduma kwa namna walivyoomba wadau
HahahahahaWale jamaa wanaboa sana.
Kitu akifanya mwanaCCM hata kama ametukana au amemnajisi mtu wataunga mkono na kukisifia
Kigogo ansema piga spana/tofali!Hiyo ni taasisi ya Lumumba. Wakijirekebisha watakula wapi?!
Dawa ni kuwapiga ban tu
wapo wanachadema wengi tu humu ili wapo wachache wanaojulikana.Kuna wafuasi wa CCM kibao humu mbona mmetajwa nyie wanne sana, mjirekebishe lugha za kuprovoke reactions au lugha mbovu achaneni nazo, or else mtajikuta nyie wanne peke yenu mkijijibu wenyewe hahahaaaa 😂😂😂🤣🤣🤣☺☺☺☺☺🙈
Fair gameChakusikitisha unaweza ukawa una ignore watu ambao washaku ignore muda mrefu [emoji28],unakwama wapi !
Sasa kwa akili zako mgando unafikiri hiyo ndio itakusaidia kuipa kura nyingi chadema?
Mawazo mazuri lakini ushajiuliza izo video sharing kwa maisha haya ya Tanzania au wewe upo California USANaomba mlitazame na mnipe briefing..
Najua zamani video zilikuwa shida sababu ya server..Ila now naamini sio tatizo.
Na dunia inazidi kwenda kwenye video sharing
Kuliko text.. JF naomba iende na wakati
YouTube .tick tock na other apps lazima JF
Iweze kwenda na wakati