Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Kila mtu ana Uhuru wake Ila jingalao and co company wao ni kuharibu mada na matusi mwanzo mwisho, Sasa wabaki wasome wenyewe huo utopolo wao. Mbona Kuna watu wanazi wa CCM wako critical tu na kikawaida.
Uliwahi kutukanwa na jingalao wapi lini ?
Yaani nikiwagonga kwenye hoja mnajihisi mmetukanwa.
Naamini kati ya members wachache wenye uvumilivu dhidi ya matusi humu jamvini mimi ni namba 4.
 
Uliwahi kutukanwa na jingalao wapi lini ?
Yaani nikiwagonga kwenye hoja mnajihisi mmetukanwa.
Naamini kati ya members wachache wenye uvumilivu dhidi ya matusi humu jamvini mimi ni namba 4.
Sio kutukanwa baadhi ya watu huharibu mada makusudi na kufanya Uzi mzima upoteze meaning, kwanini uende nje ya content, pia Mimi sijawahi ona hoja kwa watu mashabiki maandazi napenda hoja ijadiliwe pande mbili kiuhalisia kabisa. Mbona mwengeso huwa Yuko vizuri na chama chake hoja huzidadavua vizuri. Ujue si kila mtu humu ni shabiki wa vyama Sasa kila mtu anaweka chama chake wengine hatumaindi.
 
Melo bhana! Mbona umeharibu sana? Mtu kama anakukera si unajitoa jf?

Yani jf itakuwa ina makundi kama magroup ya whatsap ya vyama vya siasa sasa.
[emoji23][emoji23]
 
Melo bhana! Mbona umeharibu sana? Mtu kama anakukera si unajitoa jf?

Yani jf itakuwa ina makundi kama magroup ya whatsap ya vyama vya siasa sasa.

Mkuu,

Lengo sio watu wapotezeane. Hii option ya ignore user ipo tangu 2006 hivyo si jambo jipya.

Jambo jipya ni mada na forums kuweza kuwa ignored ili watu wasione maudhui wasiyoyataka.

Uhuru wa kuchagua!
 
Sio kutukanwa baadhi ya watu huharibu mada makusudi na kufanya Uzi mzima upoteze meaning, kwanini uende nje ya content, pia Mimi sijawahi ona hoja kwa watu mashabiki maandazi napenda hoja ijadiliwe pande mbili kiuhalisia kabisa. Mbona mwengeso huwa Yuko vizuri na chama chake hoja huzidadavua vizuri. Ujue si kila mtu humu ni shabiki wa vyama Sasa kila mtu anaweka chama chake wengine hatumaindi.
Kwa hiyo hukuwahi kutukanwa na jingalao
sasa iweje utumie mfano huu?
Naona umeanzisha sababu mpya baada ya kuukosa ushahidi wa matusi.
 
Acha nimu-ingbore pasco mayala maana siku hizi amebadilika sana(joke)[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakuu,

Kumekuwepo maombi ya wadau wakitaka kuweza kutoona aidha wanachoandika watu flani au kutoona content kutoka forum flani au contents za thread flani tu.

Naam, tumelifanyia kazi hili na sasa unaweza kufanya hivyo.

ZINGATIA: Ignore list yako inakuwa hapa mara zote https://www.jamiiforums.com/account/ignored

MFANO katika PICHA:

Ukitaka kutoona mada za mdau flani (kumradhi USSR nimekutumia kwa mfano), basi bonyeza jina lake utaona option ya IGNORE - bonyeza hapo.

View attachment 1463904

Ukitembelea profile yako, eneo la IGNORE list utaona hivi:

View attachment 1463905

Kama unataka kutoona contents za forum flani, unaenda kwenye forum husika na utaona kuna hiyo button ya IGNORE; bonyeza na utaona hivi:

View attachment 1463903

View attachment 1463909

Aidha, unaweza kuchagua ku-IGNORE thread moja moja badala ya forum nzima ili uweze kupata kile kitu unataka.

View attachment 1463907
 
Kwa hiyo hukuwahi kutukanwa na jingalao
sasa iweje utumie mfano huu?
Naona umeanzisha sababu mpya baada ya kuukosa ushahidi wa matusi.
Kuwekwa ignore list sio lazima matusi hata unachoandika pia ka hakinifuraishi na skip naendelea na next comments, mfano Mimi Kuna mijadala huwa hata siifungui kabisa nikashajua huyu mrengo wake ulipo na akili yake ilipogota maana nothing new. So sipendi ku feed ubongo wangu na vitu visivo na mantinki Tena uongo
 
Tukutane Jukwaa la Siasa
 
Back
Top Bottom