Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Tubarikiwe sote mtumishi, ilà kwa umri huu sijawahi kuwa na chama, ninasapoti mazuri na kukemea maovu, haijalishi yanatoka upande gani. Unataka kusema na mimi ni Lumumba buku7 au Ufipa buku10 mtumishi?

Hahhaa wewe ni official LB7! Haijalishi😉😉
 
Ni sawa kabisa mkuu Bia yetu ametuchosha mno
Nimejaribu kufuatilia uzi huu, sijamuona akichangia hata mara moja!
Ingekuwa KUSIFIA kule aliko, au kuuponda upande wa pili, angeshachangia zaidi ya mara kumi! Na tena, angekuwa wa kwanza kuchangia. Sina shaka, anatusoma tu hapa, na KUJIJUA malengo yake ya KUWAUDHI wa upande wa pili, anafanikiwa kwa kiwango kikubwa!
 
Sina chama sheikh wangu! Sitak sikia chclochote kuhusu siasa..majitu yenyewe unayambania hayajielewi aku
Sasa mbona unalazimisha mimi kuwa na chama, namkubali tu ngosha, yaani namkubali kishenzi yaani. Ningekuwa sijaoa ningetafuta msukuma ili kuunga juhudi za ngosha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante kwa maboresho hayo, pia ningependa kuona kama:
1. Mtu akini-ignore nipate notification kwamba " Wangari Maathai has ignored you".😎
2. Kwa vile kuna button za like, love, nk basi tuwekewe ile ya dislike, kama sikubaliani na mchango wa mtu nionyeshe hisia zangu kwa dislike👊

Vinginevyo hongereni sana kwa hili jukwaa maridhawa kabisa.

Nimekuonjesha dislike 😊
 
Naona mmeng’ang’ania kushindwa kuhimili michango tofauti mnasahau kuna ma stalkers humu, yaani katika mambo uliyobadilisha MAX ambayo ni mazuri basi ni hili
 
Melo to me this is not crucial

Kila mara humu tunalalamika viongozi wetu katika mambo mbalimbali na hata kudai watusikilize na wasipotusikiliza tunandelea kulalama je kumbe wanavyotuignore ni sawa? Pía wakiignore maendeleo kwa umma ni sawa kwani nasi kama binadamu tunapenda kusikia na kuona yanayotupendeza! Basi tusiwakwaze na viongozi wetu ili wasituignore bali watupende kwa kusifia
Binadamu si option kupatwa, kusikia au kuona mabaya au mazuri tu kwani sarafu ya maisha ni pande mbili( uzuri/ubaya)

Kuna watu wanaweza kutumia fursa hii kuniignore pale juu, ni sawa kwa kuwa majumbani mwao watakutana na haya wanayoyakimbia, huwezi kuwa bora bila kupingwa hadharani na sirini( tuko na vivuli lkn bado tunaignore vipi tungekuwa og)
 
Back
Top Bottom