Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Ujue kuna watu wanakera.
Kupingana kwa hoja sio shida, shida ni kuleta vioja ukataka watu waone ni hoja.

Siwezi ignore mtu ambaye napishana nae mtazamo, bali anayelazimisha bila hoja tena kwa kejeli ukubaliane naye.
 
Mimi naona kwa kuwa wapinzani wa Bongo majimbo yao yako Twitter, Jf na Whatsapp basi watwange block wanaccm wote

Itasaidia sana,
 
Humjui vizuri, nimezinguana nae mimi kanitukania mama yangu
 
Hahahaaa mkuu kumbe ulianzia kuomba huku hadi ikafikia kutufungulia uzi kabisa, ila uzi wako wa tik tok imeleta balaa mtamu sana ule uzi, kuna moja dada anacheza wimbo wa nikikupea utawezana yaani nimemwelewa kweli
 
Great thinker siku hizi ni genge la democrats kumtukana trump...... yani wanaongea kashfa na maneno hovyo hadi unajiuliza hawa ni great thinkers?......

btw, they dont reason (most of them), wanaongozwa na hate[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…