Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020



πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†! Shemasi kukuignore wewe ni hadi ccm iendelee kubaki twenty twentyπŸ˜†πŸ˜†!
 

🀣🀣🀣 ngoja na mm nicount! Bas imeondolewa hivi majuzi
 
Mkuu Melo mm nahitaji kui update my Jf app but siioni kule play store, cjui ni mm tu au ni vp, mana mwezi huu katikati nili update, lkn kwa ss siioni app kule play store.

Simu yako ina Operating System ya zamani; tafadhali fikiria kufanya update ili iwe na mpya kidogo
 


πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†20 mimi had leo hii!
 

Kweli kuna baadhi ya Verified ID za makampuni /mashirika/taasisi zilianzishwa baadae ikawa kama wamezitekeleza Account zao

Kwa ID uliyoitaja ya Vodacom, sio kweli sana ulichokisema, ID hiyo ilianzisha mada hiyo 2013, mara ya mwisho ID kuingia hapa JF ilikuwa 2019

Kwa ID za makampuni/taasisi ambazo hazikuwa zikifuata malengo ya kuanzishwa kwake au walizitekeleza, amini kuwa zipo ambazo zilifutwa au kubadilishwa utambulisho wake
 
Daah inauma sana yaani forum ina member zaidi ya laki 5+ lakini bwana USSR ndio unatumika kama mfano.[emoji1787][emoji1787]
Ni lazima member 1 angetumika Kama mfano kwaiyo USSR kutumika sio shida, shida inaanza pale ambapo watu wengi wanasisitiza kuwa USSR ni mtu sahihi kutolewa mfano na kufuatiwa na watu wengine
 
Kusikiliza ninachokipenda ni haki yangu ya kikatiba. Hata kuwachukia Mataga ni haki yangu ya kikatiba.
 
It's okay anyways, umenifanya niikumbuke tweet yako ya majuzi hapa, sijui kwa nini wengi tunashindwa kuziishi imani zetu, hili swala linakiuka haki husika ya msingi na najua unalijua hilo mkuu, tujifunze kuvumiliana nakazia...all is well [emoji1374].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…