Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Hili zoez lisiishie kwenye ignore list livuke mipaka Hadi kuisambaratisha account ya hao wajinga Kama Bia Yetu , Kawe Alumni na Huyo USSR.



TENA IKIBIDI MUWEZE KUWEKA POSSIBILITY YA KUMU-IGNORE HATA MARA 1000
 
Hakikuwahi kuondolewa mkuu; ndo maana unaona watu wengine wanashangaa “jipya nini”? Kimsingi, hapa sababu ya kuongelea ni kwakuwa zimeongezwa options kuwa unaweza ku-ignore zaidi ya mtu
Ni kweli nimeangalia list niliowawekea komeo zama hizo bado ipo, nimekazia tu kwa kuongezea watu.
Wigo umeongezeaka mkuu, hili ni jambo jema.

Maboresho mazuri, sijui Wangari Maathai kama anajua kuna ka globu kule juu.
Zingatia tu kutoa ''elimu jamii'' hata kwa mtu mmoja maana ukionekana unabadilisha mandhari mara kigiza halafu unasoma post zenye ''avatar ''unaweza kupata maswali usiyotarajia.🙂, ni ushauri tu!
 
Ni kifupisho cha "Make Tanzania Great Again". Wazee wa lumumba buku saba au ukipenda Waite nzi wa kijani, tokea chama cha majambazi.
Hahahahahaa...jf raha sana, sa eti mkuu nikuignore afu niongezee wapi siku za kuishi? siasa si uadui, watakufa mapema sana nyumbu wanaochukulia tofauti.
 
It's okay anyways, umenifanya niikumbuke tweet yako ya majuzi hapa, sijui kwa nini wengi tunashindwa kuziishi imani zetu, hili swala linakiuka haki husika ya msingi na najua unalijua hilo mkuu, tujifunze kuvumiliana nakazia...all is well [emoji1374].View attachment 1464092
Na wewe nimeshakutwanga Block , ni mwendo wa spana tu
 
Usijali, hiyo button ya Video unaiona in next 10min

=====
Edit: Button added

View attachment 1464076
Mkuu why hii kwann hyo attachment view nisiweze ona kabisa kama ni picha au video hapo mpk mnipe link tena
IMG_20200531_082309.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dislike button sijui hii option ya kublock au kuignore naona kama zimekaa kidada...

Halafu ukishadislike au kumignore mtu unafaidika na nini? kwamba umeambiwa hizo option ndio zitapunguza ukali wa maisha? acheni hizo wapwa Bia yetu USSR wapo JF kuifanya iwe JF
Twitter, Facebook, Instagram n.k option ya kublock mtu ipo.


Hata kanisani au msikitini ukizingua wanakublock Hakuna kwenda
 
Dislike button sijui hii option ya kublock au kuignore naona kama zimekaa kidada...

Halafu ukishadislike au kumignore mtu unafaidika na nini? kwamba umeambiwa hizo option ndio zitapunguza ukali wa maisha? acheni hizo wapwa Bia yetu USSR wapo JF kuifanya iwe JF
! Ninazidi kuona umuhimu wa kitufe!
 
Back
Top Bottom