Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Hili zoez lisiishie kwenye ignore list livuke mipaka Hadi kuisambaratisha account ya hao wajinga Kama Bia Yetu , Kawe Alumni na Huyo USSR.



TENA IKIBIDI MUWEZE KUWEKA POSSIBILITY YA KUMU-IGNORE HATA MARA 1000
 
Hakikuwahi kuondolewa mkuu; ndo maana unaona watu wengine wanashangaa “jipya nini”? Kimsingi, hapa sababu ya kuongelea ni kwakuwa zimeongezwa options kuwa unaweza ku-ignore zaidi ya mtu
Ni kweli nimeangalia list niliowawekea komeo zama hizo bado ipo, nimekazia tu kwa kuongezea watu.
Wigo umeongezeaka mkuu, hili ni jambo jema.

Maboresho mazuri, sijui Wangari Maathai kama anajua kuna ka globu kule juu.
Zingatia tu kutoa ''elimu jamii'' hata kwa mtu mmoja maana ukionekana unabadilisha mandhari mara kigiza halafu unasoma post zenye ''avatar ''unaweza kupata maswali usiyotarajia.🙂, ni ushauri tu!
 
Ni kifupisho cha "Make Tanzania Great Again". Wazee wa lumumba buku saba au ukipenda Waite nzi wa kijani, tokea chama cha majambazi.
Hahahahahaa...jf raha sana, sa eti mkuu nikuignore afu niongezee wapi siku za kuishi? siasa si uadui, watakufa mapema sana nyumbu wanaochukulia tofauti.
 
Na wewe nimeshakutwanga Block , ni mwendo wa spana tu
 
Twitter, Facebook, Instagram n.k option ya kublock mtu ipo.


Hata kanisani au msikitini ukizingua wanakublock Hakuna kwenda
 
! Ninazidi kuona umuhimu wa kitufe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…