IGP alitusihi wazazi tusizae majambazi, vipi yeye kuongoza wauaji huko Jeshi la Polisi

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Wazazi tulianza kufanyia kazi ushauri wa IGP alitushauri vizuri tu tena kwa roho safi kua wazazi tusizae majambazi na magaidi kama HAMZA naamini lengo lilikua kudumisha amani na utulivu nchini ni sawa wazazi tulipokea ushauri huo kwa mikono yote miwili.

Vipi yeye sasa kuongoza waporaji wa mali za Raia wema na wauwaji wa raia wasio kua na hatia kwenye jeshi lake kama wazazi na sisi tunamshauri aache kuongoza majambazi huko kwenye taasisi yake bali alitakiwa kuongoza askari wenye weledi wa kutosha na sio kuongoza wauwaji wa mfanyabiashara wa madini.

Wazazi tunamshauri pia IGP Siro kamwe asiongoze majambazi wanaofanya uhalifu huko polisi.

Kama tulivopokea ushauri wake naamini nae atapokea ushauri wetu na kwa kuanzia tu ni vyema ajiuzuru nafasi yake.
 
Unaona watoto wa wenzio ni Malaya kumbe wewe Una Mashankupe nyumbani.
 
Back
Top Bottom