IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

Hakuna mtu mwenye akili chafu aaue mgoni wake kisha amchafue mkewe wake.
Hio barua tu tayari ni kasfa bila kujali alikuwa anakula au la
Itakuwa ni mtu ambae ana uadui na masanja may be kaamua kumkomoa.
Doesn't make sense mtu ajiue kwasababu ya kukataliwa na mchepuko ambaye ni mke wa mtu. Na yeye ana mke tena kamuoa juzi juzi tu hapa.
Labda kama ana matatizo ya akili
 
Kama ndio Hawa ngoma droo!
Hamna haja ya kupoteza resources kuchunguza, aliyezidiwa kaxidiwa
 
dah.
Mmewaza mbali sana.
Makosa ya kiufundi yatawagharimu watu hapo.
 
Ile page ya twitter kama ni kweli ya mama Mchungaji yanayopostiwa mbona hayafananii na umama uchungaji ni post za kingono ngono tu labda sio yake
 
figganigga nakupigia
 
Itakuwa ni mtu ambae ana uadui na masanja may be kaamua kumkomoa.
Doesn't make sense mtu ajiue kwasababu ya kukataliwa na mchepuko ambaye ni mke wa mtu. Na yeye ana mke tena kamuoa juzi juzi tu hapa.
Labda kama ana matatizo ya akili
True mke wa mtu ni mpangaji hata mlaji aiingii miguu yote
 
Kifo cha yule dogo kimekaa kimkakati! Nimepitia page ya dogo sioni uwezekano wa kujiua kwasababu za kizembe vile.

Alafu inasemekana ujumbe alituma kwa mama yake, marafiki zake kabla hajajiondoa na ukisoma ujumbe wenyewe sioni kabisa uwezekano wa kuandikwa na yule dogo.

Polisi wafatilie kwa undani, kuna jambo halijakaa sawa kabisa! Isijekuwa dogo kaondoshwa sababu nyingine nje ya mapenzi ikiwemo biashara haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…