IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

Kama yupo freemason sio jambo la ajabu ni katika mambo ya kupanda madaraja na kupata upako zaidi wa kichungaji. Kama yupo kwa Mungu ni jaribu tu yawapatayo watumishi wengi wa Mungu. Siri anayo yeye.
 
Tuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Bongo kila kitu kinawezekana, makanisa yamekua vichaka vya uovu
 
Naomba jina la page yake nikamuangalie marehemu
 
Vipi uchunguzi wako ndo unasema ivi, jamaa kamforce kijana afe baada ya tunda lake kung'atwa na huyo kijana
 
Tuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Vipi kama tayari kulikuwa na rumors? Kukiwa na rumors kwamba fulani anakula mkeo huwezi mdedisha huyo mwamba usidakwe,njia nyepesi ni hiyo barua iandikwe alafu aonekane amejiua mwenyewe
Mkandamizaji inasemwa toka zamani anauza unga wa azam
 
Kama kulikuwa na rumours asingemdedisha halafu chanzo kiwe hicho na barua iandikwe hivyo, huoni ni kama anajishtaki watamchunguza?
 
Ongeza nyama kwenye ujumbe wako

Nini eti unga wa Azam πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kama kulikuwa na rumours asingemdedisha halafu chanzo kiwe hicho na barua iandikwe hivyo, huoni ni kama anajishtaki watamchunguza?
Mkuu,sasa hivi ukifuatilia mitandaoni kila mtu anafurahi yaliyomkuta masanja,hakuna mtu anafikiria kiundani,huenda kama mkandamizaji ndiye kafanya hayo alijua kabisa watu wengi hawampendi hivo watafurahi na hakutokuwa na uchunguzi

Ni ngumu sana wamchunguze,hapa Africa utachungunzwa endapo tu kama ulikuwa na ugomvi wa wazi na marehemu
 
Vipi kama tayari kulikuwa na rumors? Kukiwa na rumors kwamba fulani anakula mkeo huwezi mdedisha huyo mwamba usidakwe,njia nyepesi ni hiyo barua iandikwe alafu aonekane amejiua mwenyewe
Mkandamizaji inasemwa toka zamani anauza unga wa azam
Mkuu unaweza kuniunganisha naye?
Nahitaji unga wa muhogo kwa ajili ya ugali
 
Kama kulikuwa na rumours asingemdedisha halafu chanzo kiwe hicho na barua iandikwe hivyo, huoni ni kama anajishtaki watamchunguza?
Imagine wewe ungekuwa mwanaume, mtu akulie papuchi yako alafu ajiue, unapata wapi nguvu ya kumpost mkeo mtandaoni na kumwambia unampenda, na kesho yake huko WhatsApp unahamasisha watu mwende mkamzike mume mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…