Inaitwa " kupaka make up " au. " dressing the scene" to make it look like something else.Tuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Wanamchukia kwa lipi? Hebu fungukaNilichogundua watu wanamchukia masanja mkandamizaji
Chura anayo ama hana sijamcheki vizuri kwa nyumaAfadhali hata angekuwa mrembo mwanamke mwenyewe sura kama Kibu Dennis kakosa goli la wazi
Salaam Wakuu
Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend.
View attachment 2375542
Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja.
Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe.
Mtashangaa Matokeo yake.
Polisi wana weredi mkubwa wakiamua kufanya kazi.
Pia Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe ajiuzulu au apelekwe makao Makuu ili kupisha Uchunguzi.
Je, nani alithibitisha mwandiko ule ni wa Marehemu?
Ipo wapi Intelejensia ya Polisi?
Hatuwezi kukubali watu wauliwe kishenzi namna hii. Halafu mnatuletea Stori za Mapenzi. Uhai wa binadamu hauna Spea, acheni kuchezea uhai wetu.
View attachment 2375550
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.
Dogo baada ya kuoa alienda honeymoon Dubai na mkewe! Pia alikuwa MC wa maharusi! Ukisoma ule ujumbe haufanani nae kabisa! Something very strange happened [emoji848]
Marehemu hachafuki but story inaonyesha kama marehemu alikuwa akiiba mke ama nakosea!?
Kwani imeshathibitishwa na Cammillius?
Kwani imeshathibitishwa na Cammillius?
Salaam Wakuu
Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend.
View attachment 2375542
Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja.
Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe.
Mtashangaa Matokeo yake.
Polisi wana weredi mkubwa wakiamua kufanya kazi.
Pia Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe ajiuzulu au apelekwe makao Makuu ili kupisha Uchunguzi.
Je, nani alithibitisha mwandiko ule ni wa Marehemu?
Ipo wapi Intelejensia ya Polisi?
Hatuwezi kukubali watu wauliwe kishenzi namna hii. Halafu mnatuletea Stori za Mapenzi. Uhai wa binadamu hauna Spea, acheni kuchezea uhai wetu.
View attachment 2375550
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.
Linapokuja swala la umaarufu/siasa mtu hashindwi kufanya chochote brKuna mtu anaweza kufanya uhuni huo na kumchafua mkewe kweli?
[emoji848]Mimi ukiniambia mwanaume kajiua sababu ya mchepuko, tena mchepuko unaomzidi umri, mchepuano ambao unaona kabisa mtongozaji ni mwanamke, nitakataa mpaka kesho kutwa.
Yule dogo hawezi kujiua sababu ya mke wa Masanja kamwee.
Something is wrong somewhere.
You never knw wameblind tukio gan lisiwe exposed..wamefanya risk assessment option ikawa ndo hyoKuna mtu anaweza kufanya uhuni huo na kumchafua mkewe kweli?
kweli kabisa. it doen't make senseSalaam Wakuu