IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

kama kujinyinyongaa alitakiwa ajinyongee masanjaaa... haiingii akilini hata kidogo yule dogo kapotezwa baada ya ukweli wa kumla ma mchungaji kujulikanaa asilimia 90...labda hizo 10 ndo inawezekana kajinyonga
 
Hiyo habari inachanganya na pia sijapata majibu sahihi muda ndio rafiki wa kila kitu wacha niendelee kusubiri ntapata majibu sahihi...ila mwanzo nimeona kama maigizo fulani ambayo yana majibu yaliyofunikwa hayahitaji kazi ndogo kupata majibu...
 
Salaam Wakuu

Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend.
View attachment 2375542
Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja.

Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe.

Mtashangaa Matokeo yake.

Polisi wana weredi mkubwa wakiamua kufanya kazi.

Pia Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe ajiuzulu au apelekwe makao Makuu ili kupisha Uchunguzi.

Je, nani alithibitisha mwandiko ule ni wa Marehemu?

Ipo wapi Intelejensia ya Polisi?

Hatuwezi kukubali watu wauliwe kishenzi namna hii. Halafu mnatuletea Stori za Mapenzi. Uhai wa binadamu hauna Spea, acheni kuchezea uhai wetu.
View attachment 2375550
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.

Cc:
Joannah
Utaelewa tuu Akili yangu ya Masters kwanini ilikuwa inagoma kuamini yanayotrend!
 
Bongo bwana.

Ukifunga macho kwa kupiga chafya tu, umepitwa.

Halafu watu hata hawakuazimi daftari uangalie umepitwa nini. Wanakuletea uzi juu kwa juu kama ulikuwa nao kwenye tukio mkafuatilia mwanzo mwisho.

Rest In Protons to marehemu.
 
Dogo baada ya kuoa alienda honeymoon Dubai na mkewe! Pia alikuwa MC wa maharusi! Ukisoma ule ujumbe haufanani nae kabisa! Something very strange happened [emoji848]

Mi Pia Niliwaza Hivyo haiwezekani kamwe Mtu ajiue vile…
Kuna watu wanaweza Kukuvamia Wakakuamrisha Uandike hivi na Utume kwa Undugu kupitia Simu yako….
Roho ya Mtu inauma Bwana…
MUNGU tuu ndio mwenye mamlaka ya Kutoa roho ya mwingine…
Halafu Kuna Watu walitaka tuamini Meseji[emoji38][emoji15]Kweli Vichwa hivi viamini Messeji tuu
Cc: Joannah
 
Marehemu hachafuki but story inaonyesha kama marehemu alikuwa akiiba mke ama nakosea!?

Hata kama Kaiba Mke…
Kutoa Uhai wa Mwenzako big NO.
Alietoa nae kuna Kitu Kitampata.
Iwe fundisho kwa wanaojichukulia Sheria Mkononi[emoji1787]
 
Kwani imeshathibitishwa na Cammillius?

Basi Tusubirie Tamko Rasmi la Polisi juu ya Tukio hili…i.e Uchunguzi wao.
Namuombea Camilius Mongosso Wambura weledi kwenye Hili.
Yaani wanataka watunyweshe tuu tunywee eti Kajiua[emoji2368]….Nasikia…Nasikia Ndugu waligoma Kuuzika Mwili wa Marehemu…
Anyway Tutasikia Mengi Tusubiri Tamko la Polisi tuu Ova.
 
Salaam Wakuu

Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend.
View attachment 2375542
Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja.

Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe.

Mtashangaa Matokeo yake.

Polisi wana weredi mkubwa wakiamua kufanya kazi.

Pia Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe ajiuzulu au apelekwe makao Makuu ili kupisha Uchunguzi.

Je, nani alithibitisha mwandiko ule ni wa Marehemu?

Ipo wapi Intelejensia ya Polisi?

Hatuwezi kukubali watu wauliwe kishenzi namna hii. Halafu mnatuletea Stori za Mapenzi. Uhai wa binadamu hauna Spea, acheni kuchezea uhai wetu.
View attachment 2375550
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.

Umeandika ukweli mtupu
Uchunguzi zaidi ufanyike
 
Huu uzi umetufumbua watu wengi macho
IGP Wambura fanya kazi yako kwa weledi kwenye hili tunajua ww unaweza sana
Tunakuamini na tutazidi kukuamini Kamanda
 
Mimi ukiniambia mwanaume kajiua sababu ya mchepuko, tena mchepuko unaomzidi umri, mchepuano ambao unaona kabisa mtongozaji ni mwanamke, nitakataa mpaka kesho kutwa.

Yule dogo hawezi kujiua sababu ya mke wa Masanja kamwee.

Something is wrong somewhere.
[emoji848]
 
Kuna issue Masanja na marehemu wamezingua sehemu, hio ni adhabu yao, mmoja kifo na aibu kwa masanja itakayopelekea anguko.
 
Salaam Wakuu

Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend.
View attachment 2375542
Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja.

Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe.

Mtashangaa Matokeo yake.

Polisi wana weredi mkubwa wakiamua kufanya kazi.

Pia Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe ajiuzulu au apelekwe makao Makuu ili kupisha Uchunguzi.

Je, nani alithibitisha mwandiko ule ni wa Marehemu?

Ipo wapi Intelejensia ya Polisi?

Hatuwezi kukubali watu wauliwe kishenzi namna hii. Halafu mnatuletea Stori za Mapenzi. Uhai wa binadamu hauna Spea, acheni kuchezea uhai wetu.
View attachment 2375550
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.
kweli kabisa. it doen't make sense
 
Back
Top Bottom