IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

Ndugu wa mke wa marehemu wanasema wazi kabisa..Mambo mengi yamegunduliwa ikiwemo baadhi ya waumini walikuwa wanajua huo uhusiano na muumini mmoja alishawakuta live wanapeana kiss zito la mate...Pia majirani wanathibitisha mke wa masanja alikuwa anaenda Mara kadhaa asubuhi nyumbani kwa marehemu wakati mkewe marehemu yupo kazini..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ile page ya twitter kama ni kweli ya mama Mchungaji yanayopostiwa mbona hayafananii na umama uchungaji ni post za kingono ngono tu labda sio yake
mama mchungaji kaubana mpaka basi.
 

Eheee kumbe
 
Unajua utamu wamtaro weww
 
Dogo kawaishwa
Kajinga sana,unamla mke wa mtu alafu unakuwa karibu na mwenye mke,ndio kuna bro fulani alifanya huu ufala sik moja,huwa anamla mke wa msela,siku moja wamekutana Bar na msela akakaa naye meza moja eti wanapiga na stories
 
Cha kushangaza masanja atakua anazunguka uraiani hadi saizi
 
Na kama ni kuuwawa basi waliofanya hivyo ni wajinga kwani kama ana mke si bora wangesema tu kuwa amejinyonga kutokana na kumhisi mkewe kuwa anafanya cheating
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…