IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

mmmh!! Hatari
 
Kama unaona naomba unishare namm nipate kusoma hiyo story ya Mr slimu interested sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni kweli kamtumia mke wa masanja private, nani ameisambaza?
Kwa akili ya kawaida mke asingeweza kumuonyesha mtu.
Demi lini huyu kijana anazikwa na wapi anazikwa niwatume vijan wangu wakafanye independent investigation

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hii tabia ya kuvaa tu majoho huku ni kudhalilisha elimu za watu ..watu tunakujua ya kuwa shule ilikusumbua then unajitupia tu joho la PHD holder kwann lkn ?
Mbaya Sana mm mwenywe mwanagu akifaah kile kikofia Cha undergrudute nakerekaa mno eti katoto Cha lasaba nae anavalishwa joho upuuz huo mnadhalioisha elimu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Walijua utawaza hivyo, ili kuwaondolea suspicion
 
Huyo mtu atakuwa ukoo wake kuna historia ya kujiua. Haya mambo huwa hayaji hivi hivi
Mtu aliyejiua na aliyeuawa ni rahisi sana kubaini, uchunguzi ukifanyika ni sekunde tu kujua.
 
Au dogo alitaka kuvujisha ishu ya jamaa kama ambavo tetesi zilivyo kuhusu poda..
Hichi kifo ni kama cha agness masogange
 
...Pia majirani wanathibitisha mke wa masanja alikuwa anaenda Mara kadhaa asubuhi nyumbani kwa marehemu wakati mkewe marehemu yupo kazini..
 
Khatibu kazikwa...naona mpaka sasa police kimyaaaaa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…