Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Hawamchukii I;a wamefurahi kwa sababu alikuwa anamfagilia sana mamchungajiNilichogundua watu wanamchukia masanja mkandamizaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawamchukii I;a wamefurahi kwa sababu alikuwa anamfagilia sana mamchungajiNilichogundua watu wanamchukia masanja mkandamizaji
mmmh!! HatariNdugu wa mke wa marehemu wanasema wazi kabisa..Mambo mengi yamegunduliwa ikiwemo baadhi ya waumini walikuwa wanajua huo uhusiano na muumini mmoja alishawakuta live wanapeana kiss zito la mate...Pia majirani wanathibitisha mke wa masanja alikuwa anaenda Mara kadhaa asubuhi nyumbani kwa marehemu wakati mkewe marehemu yupo kazini..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Namuona masaanja segereaHata mi akili imeanza kukataa, kijana smart kama yule hawezi kujiua kizembe aiseee, kuna tatizo sehemu mambo ya deep state
Kama unaona naomba unishare namm nipate kusoma hiyo story ya Mr slimu interested sanaHii hoja yako itapuuzwa na watu wote ambao hawajasoma kitabu cha yule bodyguard wa Mr slim, ninacho soft copy, jamaa anadai Kagame ana matatizo ya akili kwa mfano, kuna siku Kagame alitapika kwenye gari na kushuka kwenda kukojoa kichakani, bodyguard ikabidi aende kufuta yale matapishi,aliporudi Kagame akampiga mlinzi ngumi,
siku nyingine Kagame kapiga simu kwa Dk mmoja ikapokelewa na mdada wa kazi ilikuwa miaka ya 90,kagame akasema mpe mwenye simu niongee naye,mdada akagoma anataka kujua nani anaongea,kagame akawasha gari akaenda kumziba makofi yule House girl na kuamuru afukuzwe kazi hana adabu
Demi lini huyu kijana anazikwa na wapi anazikwa niwatume vijan wangu wakafanye independent investigationKama ni kweli kamtumia mke wa masanja private, nani ameisambaza?
Kwa akili ya kawaida mke asingeweza kumuonyesha mtu.
Mbaya Sana mm mwenywe mwanagu akifaah kile kikofia Cha undergrudute nakerekaa mno eti katoto Cha lasaba nae anavalishwa joho upuuz huo mnadhalioisha elimuHii tabia ya kuvaa tu majoho huku ni kudhalilisha elimu za watu ..watu tunakujua ya kuwa shule ilikusumbua then unajitupia tu joho la PHD holder kwann lkn ?
Akikutumia nami plz sharenammMkuu usipojali naomba msaada wa hicho kitabu cha KAGAME pm au hapa hapa mkuu.
Picha ya marehemu
please? Afu nasikia marehemu naye alikua ameoa
how come?!?
Kinaitwa "Behind presidential Curtain" kama sikoseiMkuu usipojali naomba msaada wa hicho kitabu cha KAGAME pm au hapa hapa mkuu.
Walijua utawaza hivyo, ili kuwaondolea suspicionTuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Ajiue kwa lipi sasa, mchepuko??!!! No way, apewe haki yake, roho ya mtu haiendi hivi hivi!!!TIGHA BHATEMWE!View attachment 2375582
Mtu aliyejiua na aliyeuawa ni rahisi sana kubaini, uchunguzi ukifanyika ni sekunde tu kujua.Huyo mtu atakuwa ukoo wake kuna historia ya kujiua. Haya mambo huwa hayaji hivi hivi
...Pia majirani wanathibitisha mke wa masanja alikuwa anaenda Mara kadhaa asubuhi nyumbani kwa marehemu wakati mkewe marehemu yupo kazini..Ndugu wa mke wa marehemu wanasema wazi kabisa..Mambo mengi yamegunduliwa ikiwemo baadhi ya waumini walikuwa wanajua huo uhusiano na muumini mmoja alishawakuta live wanapeana kiss zito la mate...Pia majirani wanathibitisha mke wa masanja alikuwa anaenda Mara kadhaa asubuhi nyumbani kwa marehemu wakati mkewe marehemu yupo kazini..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
DuhKoneksheni ipo hewa Tena dogo alikuwa anakula kisamvu Cha mama mchungaji