IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

Mbasha alivyochapiwa aliumia sana
Screenshot_20221004-121759.jpg

Inauma asikuambie mtu seuz kuchapiwa na dogo
 
Si nimeona wamesema polisi wamethibitisha uhusiano wa mama pastor na katibu na ndo huo umepelekea umauti
 
Kama Kweli Monika alitembea na Huyo Jamaa, Jamaa Kauawa na

Kama Kweli Monika hakutembea na huyo Jamaa, Jamaa Kauawa pia.

Polisi Uchunguzi Uanze Kuhakikisha Madai Ya Marehemu kutembea na Mke wa Masanja. Mke wa Masanja atamke hadharani kuwa aliliwa au hakuliwa na Katibu na lini na Kwa sababu Gani waliachana.

Mimi Kirchhoff pia sitaki lipite hivi hivi.
 
Si nimeona humu thread imeandikwa polisi wamethibitisha uhusiano kati ya katibu na monica?afu gafla ikatoweka ile thread sijui imekuaje
 
Si nimeona humu thread imeandikwa polisi wamethibitisha uhusiano kati ya katibu na monica?afu gafla ikatoweka ile thread sijui imekuaje

Kwa Mtazamo wangu sisi ni Interlectual banaa
Suala Suo Uhusiano au Kutokuwa na Uhusiano
Suala Kuu ni Katibu Kajiua Au Kauliwa Over!
Msituhamishe Magoli
 
Kama Kweli Monika alitembea na Huyo Jamaa, Jamaa Kauawa na

Kama Kweli Monika hakutembea na huyo Jamaa, Jamaa Kauawa pia.

Polisi Uchunguzi Uanze Kuhakikisha Madai Ya Marehemu kutembea na Mke wa Masanja. Mke wa Masanja atamke hadharani kuwa aliliwa au hakuliwa na Katibu na lini na Kwa sababu Gani waliachana.

Mimi Kirchhoff pia sitaki lipite hivi hivi.

Kwa Mtazamo wangu sisi ni Interlectual banaa
Suala Suo Uhusiano au Kutokuwa na Uhusiano
Suala Kuu ni Katibu Kajiua Au Kauliwa Over!
Msituhamishe Magoli[emoji2955][emoji2955]
Msitufanye Mazuzu Issue ni Kauliwa au Kajiua?
Over
 
Naona baada ya tukio hili umaarufu wa masanja utaongezeka maradufu na waaumin kujaa kanisani kwake.

Unaweza ukaongezeka au ukashuka kabisa Kama ze comedy ya Sasa hivi.
 
Atakuwa ana hela kuwazidi na kama siyo hela, basi atakuwa ana kitu kingine cha pekee ambacho walio wengi hawana na hivyo anawzidi. Hajawahi kuwa jambazi na wala sijawahi kumsikia akitukana watu

Nadhani ile dhihaka kwa Mbowe kule hai na kutetea tozo ndio sababu ya wananchi kumgeuka.
 
Aisee kabisa naungana na wewe baada ya kupata maelezo ya Jummanne Muliro...Inawezekana pia baada ya masanja kujua akamdedisha maana ni bonge la AIBU.

Kwa Mujibu wa J4 Muliro kwenye uchunguzi wa Awali,napenda kuongea ukweli ambao ni mchungu kwa Baba Askofu na Baadhi ya Kondoo Wake.

ITOSHE KUSEMA MAMA MCHUNGAJI AMELIWA NA KATIBU.

Case Closed.
 
Tuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Kumb kuna barua na hamsemi?? Watu mna siri sana.

😃😃😃

Hujambo rafiki??
 
Hiyo habari inachanganya na pia sijapata majibu sahihi muda ndio rafiki wa kila kitu wacha niendelee kusubiri ntapata majibu sahihi...ila mwanzo nimeona kama maigizo fulani ambayo yana majibu yaliyofunikwa hayahitaji kazi ndogo kupata majibu...

[emoji16][emoji16][emoji16]na ndo lengo la ujasusi na mauaji yake, yani unapiga tukio alafu unaacha alama zitakazo wapoteza wafatiliaji afu mbele unaacha watu wanao weza kua washitakiwa no moja bila dought na unaweza kujiweka mshitakiwa no moja ili watu waone hapana huwezi kuwa wewe kuna mtu nyuma yako[emoji16][emoji16] kumbe kweli ndo wewe ila hakuna ushahidi, UJASUSI RAHA SANA. Yani hapo ni ngumu kumjua muhusika japo kwa kwakuwaza haraka haraka unamwona ila trust me unayemwona pia anaweza asiwe yeye, anaweza kua ni yeye kisheria ila kihualisia asiwe yeye na anaweza akawa yeye kihualisia ila kisheria asiwe yeye[emoji16]

RIP KATIBU TUTAKUTANA SIKU YA HUKUMU.
 
Moja wapo ya kanuni ya free masons,"Usiue kama huna sababu ya kuua" Ila iwapo una sababu,unaruhusiwa kuua.

Hato ao kina adolf, idd amini, na wengineo waliua kwa sababu huwezi kuua bila sababu na iyo itahesabika kuuabila kukusudia maana yake hujakusudia kufanya ivo sasa umuue tu mtu kwani unataka kumfanya mchemsho? Na ata iyo ni sababu, hakuna point apo.
 
Mimi ukiniambia mwanaume kajiua sababu ya mchepuko, tena mchepuko unaomzidi umri, mchepuano ambao unaona kabisa mtongozaji ni mwanamke, nitakataa mpaka kesho kutwa.

Yule dogo hawezi kujiua sababu ya mke wa Masanja kamwee.

Something is wrong somewhere.
...Ngumu Sana Mtoto wa Kuume Kujiua Kwa Ajili ya Mke wa Mtu... Pamoja na Ujinga Wao!!![emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kifo cha yule dogo kimekaa kimkakati! Nimepitia page ya dogo sioni uwezekano wa kujiua kwasababu za kizembe vile.

Alafu inasemekana ujumbe alituma kwa mama yake, marafiki zake kabla hajajiondoa na ukisoma ujumbe wenyewe sioni kabisa uwezekano wa kuandikwa na yule dogo.

Polisi wafatilie kwa undani, kuna jambo halijakaa sawa kabisa! Isijekuwa dogo kaondoshwa sababu nyingine nje ya mapenzi ikiwemo biashara haramu.
...Kuna Uwezeka Barua imeandikwa na Muuaji ili kukwepa Mkono wa Sheria!!
 
Back
Top Bottom