Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,946
- 4,592
Mbona kama uwongo. Kwenye maneno billion kumi na Tano lakini tarakimu milioni kumi na Tano. Hebu tuangalie vizuri na kama nakosea naomba kusahihishwa.Wanalindwa na jambazi mkuu, hawa wote wanapaswa kuwa jera.
View attachment 3362135
View attachment 3362139
View attachment 3362144