Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,103
Kwa cheo chake Cha asp ni more than 950,000huyo jamaa hapo nyuma ukiuliza mshahara wake utakuta laki tisa na nusu, 950,000/= mzee anapata bilioni hampi hata mlinzi wake
Kwa cheo chake Cha asp ni more than 950,000huyo jamaa hapo nyuma ukiuliza mshahara wake utakuta laki tisa na nusu, 950,000/= mzee anapata bilioni hampi hata mlinzi wake
true,Kwa cheo chake Cha asp ni more than 950,000
Labda ni take-home, Kwa hiyo analipwa kama commissioner general wa tra?Hakuna IGP anaelipwa 3.5M hayupoo
Huko salary scale sio kubwa, huo mshahara sidhani hata MakaMishna wa tra wanafika, mkikaa kwenye vijiwe nyie ndio mnasema tra mshahara milioni10 kumbe uongo mtupuIGP 3.5 ni Uongo inazidi anakunja kama 15
Lakini pia Kwa cheo hicho hicho hakina salary scale kubwa compared to nyota tatu wa tanapatrue,
Polisi mishahara yao midogo wanaishi kwa rushwa. rushwa ndio kubwa hata wakubwa wanatuma wadogo wakakusanye wawaletee ofisini. Hata TRA mishahara ya kawaida ila rushwa ndio mpango mzima.Huko salary scale sio kubwa, huo mshahara sidhani hata MakaMishna wa tra wanafika, mkikaa kwenye vijiwe nyie ndio mnasema tra mshahara milioni10 kumbe uongo mtupu
Tra wako juu More than two times Kwa salary scale compared to police, of course huko kote ni magumashi yanafanyikaPolisi mishahara yao midogo wanaishi kwa rushwa. rushwa ndio kubwa hata wakubwa wanatuma wadogo wakakusanye wawaletee ofisini. Hata TRA mishahara ya kawaida ila rushwa ndio mpango mzima.
Cheo ni kama koti leo unacho kesho unavua unabaki raia,siku zinakuja na hazizuiliki kila mtu atatoa hesabu yake na uzuri siku hizi tuna VAR na huko mbele kutanoga sana.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.

Hebu ataje tu hata mawili! Upumbavu mtupu! Sina hakika kama huyu nguchiro anajua kama SGR imesimama leo mwaka wa pili huu. Sina hakika kama anafahamu MV. Victoria hapa kazi tu sasa hivi imesimama zaidi ya miezi mitatu sasa! Aliyefanya mambo makubwa ndani ya muda mfupi ni Magufuli tu hizi zingine ni takataka!
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Wewe sio Mzalendo, hukumsikia Mama?? 🙈🙈Kwa ujambazi huu alioufanya lazima kila kitu kiwe Mama, Mama, Mama tu. Majambazi wakubwa hawa
View attachment 3362125
View attachment 3362127
View attachment 3362128
View attachment 3362130
Sababu bank account yako imejaa pesa plus bonds ulizonunua kwa ajili yakukamilisha maelekezo toka juu kuuwa watanzania wanaokwenda tofauti na CCM