wewe daima si umezoea kupotoshwa na vibaka wa kisiasa,Mbona wewe gentleman mara zote neno ukweli unalitumia vibaya? Hujui maana yake au ?

huyo jamaa hapo nyuma ukiuliza mshahara wake utakuta laki tisa na nusu, 950,000/= mzee anapata bilioni hampi hata mlinzi wake
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Wameanza praise and worship 🤣🤣🤣🤣
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Wambura hajawahi kuongea kwa namna hii kama chawa...pia looks very restless...
Kuna kitu anapitia...
Muda utaongea!
Ana bii yake imetulia mahali inapumua tu.....nacheka na kulia 😂😂😂😂Anazipiga pesa bila huruma🤣🤣🤣
Kazi kweli kweliBilionea wambura wampe Jimbo tu mwaka huu maana siasa imekua tamu kuliko utendaji kazi wa jeshi la Polisi.
Hamna za kazi maalumu ni nyingine b15, zake ameweka bond b1 eti kaikopa kutoka crdb 😢 🙌Sio zake za KAZI maalumu muhimu
Bro vumilia tu 😆Ana bii yake imetulia mahali inapumua tu.....nacheka na kulia 😂😂😂😂
Ana mabilioni bank huyo siyo mwenzenu, lazima asifu