IGP Camillus Wambura: Rais Samia umefanya mambo ambayo yalitakiwa kufanyika kwa Miaka 50

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Huyo IGP atakuwa boga kabisa
 
Ni kweli watu wamepotea wengi na vifo vya watu vimekuwa vingi mno
 
Kwa mkuu wa polisi ambaye mshahara wake wa mwezi ni 3.5M lakini ana miliki Bilioni 5B huku akilipa cash 1B ilipaswa hata miaka hamsini tusingepata lGP tajiri kama wewe. Kwa ufupi wewe ni jambazi na mwizi ndio maana hapa Majita Road musoma kila mtu anakushangaa. We ni mkurya gani mwizi
No Reforms no election
 
Duuuuh Asante Mungu sikuwa miongoni mwao wasifuo na kuimba mapambio mimi
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Huyu lzm asifie kwa sababu ndiye aliyedukuliwa akipitisha miamala ya fedha kubwa kubwa mamilioni fisadi lazima amsifie anaelea ufisadi.
 
IGP kainhilia siasa jeshi linyang'anywe usajiri na akamatwe haraka.

Albert Msando mtekelezaji wa amri za mamlaka yuko wapi?
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Huyu sindiye niliona bank statement ya billion moja! lazima hamsifu Samia,nimiongoni wanaokula mema ya nchi.
 
Nilikuwa na jamaa hapa nikamuonyesha hii heading kabla sijafungua video. Nikamwambia nafungua hii video huyu police akiyataja hayo mambo kwa orodha nakupa hii simu. Lazima atabaki tu kusema kuna mambo kayafanya rais lakini hawezi yataja. Tumefungua wote na hakutaja hayo mambo. Jamaa kacheka kishenzi na akaniuliza ulijuaje.
Mkuu kila anayesujudu huwa anaimba hilo pambio la 'maendeleo makubwa' aliyoleta Samia, lakini huwa hawayataji!
 
Unakuta mtu kama huyu shule hata c alikuwa hapati ila sasa kwenye account yake unakuta ana b za kutosha..............kweli kulia kupokezana
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Utekaji anaofanya Mama na mauaji ya vijana kavunja rekodi. Mpaka ulaya, na majirani sasa wanamtambua kwa hilo. IGP kuwekewa Billion moja kwenye account ya CRDB ni rekodi mpya Sirro mwenzake anaona wivu
 
Huy

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025
The Hague ipo njiani mda wowote yeye bashungwa na wenzao
 
Utekaji anaofanya Mama na mauaji ya vijana kavunja rekodi. Mpaka ulaya, na majirani sasa wanamtambua kwa hilo. IGP kuwekewa Billion moja kwenye account ya CRDB ni rekodi mpya Sirro mwenzake anaona wivu
Bilion 15 za kazi maalum wamegawana yaani mateso kwa Lisu imekuwa fursa kwao kupigia pesa
 
Unafiki mbaya sana, 😂😂🤣🤣Bibi mwenyewe anajua hajafanya lolote la maana.
Kinachofanyika sasa ni chawaccm kumchochea Mkoloni Kaburu mama iddy Amin Afanye vitu vya hovyo kwa watanganyika kisha wao kumwendea na kumwambia atoe pesa kwa ajili ya kupoza joto la kisiasa na wakipewa pesa wanagawana kienyeji ni wizi mpya wa pesa za walipa kodi kwa kivuli cha mateso ya chadema
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Ukiona hadi IGP anakuwa Chawa basi piga alama ya msalaba
 
Back
Top Bottom