IGP Camillus Wambura: Rais Samia umefanya mambo ambayo yalitakiwa kufanyika kwa Miaka 50

IGP Camillus Wambura: Rais Samia umefanya mambo ambayo yalitakiwa kufanyika kwa Miaka 50

😂😂😂😂😂😂.....hii sio uchawa ila inatoa msg ushirika uliopo kati ya hawa watu......ukipenda chongo(watu wanaona ni chongo)huita kengeza(wewe utaona kengeza)....hatare sana hii maana noway ya kuelezwa tofauti na ukakubali..,....maumivu yataendelea kwa wakosoaji
 
Mzee ameruhusiwa kuiba mali za umma ndani ya muda fupi ametajirika vibaya kiasi kwamba alitakiwa aibe kwa miaka 50 yeye katumia miaka 2 tu kuwa bilionea
 

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Huyu IGP labda siyo Mtanzania kwa haya yanayoendelea katika kipindi kigumu ambacho yeye ndiye mwamuzi.Kuna siku moja atakuja kujibu kwa hili la kutothamini uhai wa watu.
 
Mzee ana zaidi ya 1B CRDB imetulia tu haina matumizi huku watoto wa masikini hawana hata madawati wana kaa chini, pumbavu kabisa lazima asifie ujinga ujinga
 

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Kubakwa na kuf*ira raia wengi kiasi kama ilivyofanyika na kuua, kuteka, kudhulumu na kutesa watu wengi ndani ya miaka minne kweli ni maajabu na polisi kuwezeshwa na kulindwa kwa kuyafanya hayo ndani ya miaka michache hongera zimuendee rais kwa kuwaongoza na kuwalinda katika uhalifu huo na rais apongezwe zaidi kuwageuza viongozi wa juu wa vyombo vya ulinzi na usalama kuwa chawa na kutojali kabisa kuuawa, kubakwa na kuteswa kwa raia hususan Watanganyika.
 
Back
Top Bottom