Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Hivi hawa watekaji Ndiyo donda sugu la awamu hii? Kwenye hili .......................
Ukiyasema ata ku gwajimanize.Kwani Huwa hakuna Maneno mengine ya kumwambia Rais....!?
Ni sisi wenyewe, waTanzania kwa msaada wa Mola tutaitimiza kazi hiyo. Usiwe na shaka hata kidogo.Hii nchi ilipofikia ni Mola pekee wa kutuokoa
Kwa hiyo kamzidi mpaka kipenzi chetu Magufuli,kweli siasa ni zaidi ya madawa ya kulevya
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Huyu IGP wa wapi? Anasifia mtu ambaye anatakiwa kuhakikisha anafuata taratibu za uchaguzi? Kwa hiyo analeta picha gani? Na bado kuna mbwa za chaubwabwa zinaamini kwenda kwenye uchaguzi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Huyo no taahira siyo TlaatlahMbona wewe gentleman mara zote neno ukweli unalitumia vibaya? Hujui maana yake au ?
Huyo askari wake wafiraji na hakemei inaelekea anapoenda sanaKweli amekopa deni ambalo lilipaswa kukopwa kwa miaka 50. Mkuu wa Jeshi la Polisi badala uongelee mambo ya usalama wa raia na mali unatumika kutudanganya mchana kweupe. Sema mme badhiri mali saana mpaka mnateteana.
NO REFORMS NO ELECTION
So miaka 50 iliyopita nchi ilikua imesimamaMy country hahaha
Kama mimi nimepotoshwa itoshe kusema wewe umekengeushwa na siasa.wewe daima si umezoea kupotoshwa na vibaka wa kisiasa,
jifunze kuupokea ukweli kama huo wa IGP dhidi ya utendaji wa DR.SAMIA SULUHU HASSAN![]()
Tulishayasikia, umeleta kwasababu ipi, ndio ukweli amefanya reforms kubwa sana
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Umenichanganya kidogo.Siku moja itabidi watu wote wapimwe kilevi cha bangi .
Kuna watu hawastahili kabisa kukalia viti vya ofisi za umma .
Kama kuna Mungu basi Mwaka huu mpaka 2030 atajulikana .
IGP 3.5 ni Uongo inazidi anakunja kama 15Kwa mkuu wa polisi ambaye mshahara wake wa mwezi ni 3.5M lakini ana miliki Bilioni 5B huku akilipa cash 1B ilipaswa hata miaka hamsini tusingepata lGP tajiri kama wewe. Kwa ufupi wewe ni jambazi na mwizi ndio maana hapa Majita Road musoma kila mtu anakushangaa. We ni mkurya gani mwizi
Duuh!mpaka igp amekuwa chawa
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
No Reforms No Election

Hakuna IGP anaelipwa 3.5M hayupooKwa mkuu wa polisi ambaye mshahara wake wa mwezi ni 3.5M lakini ana miliki Bilioni 5B huku akilipa cash 1B ilipaswa hata miaka hamsini tusingepata lGP tajiri kama wewe. Kwa ufupi wewe ni jambazi na mwizi ndio maana hapa Majita Road musoma kila mtu anakushangaa. We ni mkurya gani mwizi