IGP Camillus Wambura: Rais Samia umefanya mambo ambayo yalitakiwa kufanyika kwa Miaka 50

Tujikalklie kimya 😀😀😀 mjini hapa na yeye ana familia jamani tumuelewe
 

Watu wa hovyo Kama hawa huwa wanatoka wapi hasa?
 
Kwani Huwa hakuna Maneno mengine ya kumwambia Rais....!?
Mm ninachojiuliza huyo Rais mwenyewe hayo maneno anayachukuliaje? Anaona ni sawa au anapakwa mafuta Kwa mgongo wa chupa? Kama anaona ni sawa basi ana tatizo.
 
Mnaomkosoa mlitaka asemeje na yupo kwenye unifomu za wenyewe?. Vaa viatu vyake.
 
Wanataaluma viongozi wa wakuu wa taasisi wamegeuka chawa! Taifa la hovyo sana Magufuli walimsifia kinafiki hivi hivi
 
Lian 1Bìl....kwa Civil Servant.....kununua bonds za .1.6bil lazima atasifu na kuabudu milele




.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…