Ukiona Watanganyika tunavyoua vibaka utagundua siku wananchi wakibadilika viongozi vurugu za Kenya zitakuwa kama Toto party kwa timbwili la watanganyika. Watanganyika wanafanya waastarabu lakini wakichoka wanakuwa kama mbwa mwitu.Tumesikia wote kuwa mkuu wa Polisi Kenya kaamua kuwajibika kutokana na matendo ya polisi wakati wa maandamano ya GEN.Z na kupisha wengine.
Je, wa kwetu yeye anasubiri nini kwa matukio haya yaliyo shamiri ya utekaji na utesaji huku basdhi ya vituo vya polisi vikitajwa kuhusika na matukio hayo?
Au anasubiri atangazwe "kutenguliwa" nafasi hiyo?
PIA SOMA
- IGP Koome ajiuzulu, Ruto aridhia kujiuzulu kwake
View attachment 3040772
What goes around comes aroundKwa hiyo kila kinachofanyika kenya na hapa kifanyike au sio!
Mfano.......Ukiona Watanganyika tunavyoua vibaka utagundua siku wananchi wakibadilika viongozi vurugu za Kenya zitakuwa kama Toto party kwa timbwili la watanganyika. Watanganyika wanafanya waastarabu lakini wakichoka wanakuwa kama mbwa mwitu.
Hiko hivi... Life gives you what you fight for. Usipojipambania HAKUNA kitakachotokea na kikitokea kinakuwa ni kama msaada.Je, wa kwetu yeye anasubiri nini kwa matukio haya yaliyo shamiri ya utekaji na utesaji huku basdhi ya vituo vya polisi vikitajwa kuhusika na matukio hayo?
PIA SOMA
- IGP Koome ajiuzulu, Ruto aridhia kujiuzulu kwake
Kwa hiyo kila kinachofanyika kenya na hapa kifanyike au sio!
Huko CCM wamejaa vipara tako!Kwa hiyo kila kinachofanyika kenya na hapa kifanyike au sio!
Sio Kenya tuu, lolote lifanyikalo popote duniani lililo jema ni kheri kuliiga Mr Kipara!Kwa hiyo kila kinachofanyika kenya na hapa kifanyike au sio!