IGP Kenya Maandamano yamemng'oa Ofisini. Wakwetu matukio ya utekaji yatamng'oa lini?

IGP Kenya Maandamano yamemng'oa Ofisini. Wakwetu matukio ya utekaji yatamng'oa lini?

Mama yako mzazi ndo anajua vizuri upumbavu wangu. Kuwa na adabu wewe mwanangu wa kambo
Hapa tuu tayari umedhibitisha kuwa wewenni mpumbavu! Nyie ndio mmeharibu jukwaa hili na kufanya wote tuonekane kama wewe!
 
Hapa tuu tayari umedhibitisha kuwa wewenni mpumbavu! Nyie ndio mmeharibu jukwaa hili na kufanya wote tuonekane kama wewe!
Jomba usitarajie unitukane halafu nikuache hivihivi. Ukinijibu kiungwana nitakujibu kiungwana. Ukinijibu kipumbavu nitakujibu kipumbavu zaidi.
 
Tuna mzani tofauti, kule Kenya kilo moja ya Pamba ni sawa na kilo moja ya jiwe. Huku kwetu kilo moja ya jiwe ni nzito kuliko kilo moja ya pamba.

Kenya kuwapiga, kuwateka, kuwatesa waandamanaji au wananchi ni kosa la kuweza kukufukuza kazi, kushitakiwa na hata kufungwa.

Lakini hapa kwetu ukiweza kuwapiga, kuwakamata,kuwatesa, na kuwapoteza wewe unapandishwa cheo kwa ushujaa, unaweza kutoka kuwa IGP hadi mshauri wa rais Ikulu.
 
Back
Top Bottom