Tuna mzani tofauti, kule Kenya kilo moja ya Pamba ni sawa na kilo moja ya jiwe. Huku kwetu kilo moja ya jiwe ni nzito kuliko kilo moja ya pamba.
Kenya kuwapiga, kuwateka, kuwatesa waandamanaji au wananchi ni kosa la kuweza kukufukuza kazi, kushitakiwa na hata kufungwa.
Lakini hapa kwetu ukiweza kuwapiga, kuwakamata,kuwatesa, na kuwapoteza wewe unapandishwa cheo kwa ushujaa, unaweza kutoka kuwa IGP hadi mshauri wa rais Ikulu.