IGP kwenye suala la Lissu chutama, umatusononesha sana Watanzania kwa kumshambulia mhanga kwa maneno badala ya kutafuta wahalifu

Hata wakiguswa watanzania wawili, nao ni watanzania pia!
 
Ni mapungufu tu ya uandishi kutumia uwingi/kivumishi wakati Id niyamtu mmoja.
 
Nakuapia utakufa Kama Jiwe, utakufa waliowako wasivyofikiria. Kama Jiwe alivyokufa kimzaha nawe uko njiani kumfuata. Nakuapia walah!
Acha hasira em kunywa maji fundo tatu kisha sema mimi ni mjinga.
Utakuja kufa bure kwa presha.
 
Andiko zuri sana. Ila watoa post msipende kusema "sisi watanzania" as if mmekaa na sisi watanzania wote tukakutuma. Binafsi I felt for Lissu, lakini sio kufikia hatua ya kukutuma kutuwakilisha au hata kumwandikia IGP kumtetea. Msiwe mnafanya majumuisho bila kuwasiliana na watanzania wote. Na haiwezekani😀
Ni mapungufu tu ya uandishi kutumia uwingi/kivumishi wakati Id niyamtu mmoja.
Umesomeka mkuu😃👊👍
 
afadhali na wewe umeliona hili jambo nisaidie kuwakanya.
 
Naomba uongeze hii kwa hisani;
6.IGP Sirro katika mahojiano yale alisema kwa kujiamini kwamba Lissu anatumia madhira yaliyompata kujinufaisha. Swali kwake atueleze ni kwa vipi binadamu anaweza kujilengesha apigwe risasi zaidi ya 10 mwilini ili apate "political mileage" kama alivyoiita inayomwezesha kupata misaada na kinga kwa wazungu?
 
Lisu abaki hukohuko.Tanzania vyoo vya walemavu ni vichache sana hatuna muda wa kumbembeleza.
Lisu abaki hukohuko.Tanzania vyoo vya walemavu ni vichache sana hatuna muda wa kumbembeleza.
Usimpangie Mungu ktk uumbaji wake.
Wapo ambao hata njia ya haja hawakuzaliwa nayo.
Lakini bado madaktari huwasaidia njia mbadala nawanaishi.

Ukichangia kiitikadi kwenye jambo lisilo la kichama/kisiasa utajikuta unakosoa uumbaji wa Mungu huku nawe upo duniani
 
Dhambi hiyo itawatafuna mpaka kizazi cha nne.
 
Kwahiyo we unatakaje?

Alafu tabia ya kipumbavu ya kusema sisi watanzania tuliumia sana unakosea ina manisha umenijumuisha na mimi.Ukwel ni kuwa sikuumia kabisa angekufa tu.Jiseme nafsi yako.
Uko sahihi.
Wahusika wa jaribio, wataumiaje?
Sana sana wanajilaumu kwa kutokamilisha mauaji
 

Hii issue ilishaongelewa na serikali sasa wewe unataka igp achutamie nini

Hukumsikia Rais wetu alipokua makamu wa Rais wewe??? Mama alishamsliza hiyo.




Yeye Tundu aje atoe ushirikiano waliompipiga washughulikiwe


Vinginevyo liko analoficha au analofaidi kwa hili swala kubaki lilivyo
 
Acha kumsingizia mungu ukweli utabaki kuwa ukweli,Lissu kalinganisha disabled facilities za Belgium na Tanzania kaamua kuchagua za Belgium asisingizie eti anaogopa wakati kwenye kampeni alipanda mpaka mtumbwi.
 
Kuna ukiwa Afrika inakubidi tu uyakubali na uishi Kiafrika...

Afrika kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu
 
Most likely amajua kilichotokea
 
Lisu abaki hukohuko.Tanzania vyoo vya walemavu ni vichache sana na hatuna muda wa kumbembeleza msaliti.
Hata sisi tunaotumia vidonge vya ukimwi yupo tunaishi japo vidonge vyenyewe tunasaidiwa.
Hata vilema wanahaki kutumia vyoo wanavyotumia wenye maungo sawasawa kama hakuna msaada ya mahitaji ya mlemavu.
Tunaishi huku tunaongeza damu kwa kipindi ila hutanijua kama mlemavu wa damu chafu.
Tunatembea huku figo zilishafeli.
Tunatembea huku tumefungiwa betri yakusukuma moyo.
Tunatembea kwakuwa Mungu hajataka tuwe wake.
 
Unahusika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…