IGP kwenye suala la Lissu chutama, umatusononesha sana Watanzania kwa kumshambulia mhanga kwa maneno badala ya kutafuta wahalifu

Kwa kweli tukio la Lissu huwa linanifanya nimchukie saaana Sirro na huwa sisikilizi speech zake.
 
Kwahiyo we unatakaje?

Alafu tabia ya kipumbavu ya kusema sisi watanzania tuliumia sana unakosea ina manisha umenijumuisha na mimi.Ukwel ni kuwa sikuumia kabisa angekufa tu.Jiseme nafsi yako.
Na hii tabia ya kipumbavu ya kumwita muuaji mwenzenu magufooli kuwa shujaa wa Tanzania komeni kabisa mi simuoni kama shujaa na ningefurahi kutangulia kaburini kabla ya Lissu.
 
Kwani dereva wa Lisu yupo wapi? Maana nakumbuka uchunguzi ulikomea hapo baada ya dereva kukataa kutoa ushirikiano kwa polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo we unatakaje?

Alafu tabia ya kipumbavu ya kusema sisi watanzania tuliumia sana unakosea ina manisha umenijumuisha na mimi.Ukwel ni kuwa sikuumia kabisa angekufa tu.Jiseme nafsi yako.
EeeenHeee,

Hukuumia kwa aliyotendewa Lissu, kama ulivyokosa maumivu alipokufa Magufuli au siyo?

Wewe ni mTanzania wa hovyo sana!
 
Sirro njoo utueleze Watanzania, Je Wewe na Jeshi la Polisi linamsuspect nani katika shambulio dhidi ya Lissu
Tunataka jeshi la polisi lifanye kazi yake siyo kukwepa majukumu ya msingi!
 
Hii bangi inakuharibu akili.
 
Sirro njoo utueleze Watanzania, Je Wewe na Jeshi la Polisi linamsuspect nani katika shambulio dhidi ya Lissu
Tunataka jeshi la polisi lifanye kazi yake siyo kukwepa majukumu ya msingi!
Jeshi la polisi lina msaspect dereva wa lisu.Mwambieni amtoe huko alipo.
 
Ni kweli kama ambavyo siyo wote walioumizwa na kifo cha mwendazake
 
Jeshi la polisi lina msaspect dereva wa lisu.Mwambieni amtoe huko alipo.

..kama dereva ni suspect basi jeshi la polisi linatakiwa kuwataarifu Interpol na polisi wa Ubelgiji ili dereva huyo akamatwe na kurejeshwa nchini.

..huo ndio utaratibu unaotumika kuwakamata watuhumiwa waliotoroka nchini kwao, au eneo walikotenda uhalifu.
 
Kuna haja gani kuwatarifu interpol wakati aliye shambuliwa ndiye aliyemficha akae nae tu apambane na hali.
 
Ni vema tukasubiri.Karma!Bolen Ngeti and the likes watatoa habari tu.πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Kuna haja gani kuwatarifu interpol wakati aliye shambuliwa ndiye aliyemficha akae nae tu apambane na hali.

..kama madai yako ni ya kweli basi Lissu na dereva wanatakiwa kukamatwa.

..Na IGP alitakiwa amkamate Lissu kwa kosa la kukaidi wito wa kwenda kutoa ushahidi.

..Watu wanahisi Polisi hawafanyi uchunguzi kwasababu hayo niliyoyaeleza hapo juu hayajafanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…