IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

huyo simfahamu au simkumbuki.

lakini kama sikosei wakati Mahita akiwa IGP kuna somebody jina lake Mwansasu alikuwa na cheo kama sikose cha kamishna ambacho ni cheo cha juu sana kwa askari.
Ndio huyo huyo!
 
basi ni hatari. Sasa ma-koplo wastaafu watakuwa wana maisha gani! Sometimes ni madhambi yao.

Abdallah Zombe sijui yuko katika hali gani hivi sasa.
Zombe nilisikia kajificha huko mtoni kwa Aziz Ali!
 
Fainali uzeeni wahenga walisema
 
Sasa hasira za nini mbona muandishi kaandika vizuri tu au hukusoma alichoandika?? Amesea kweli nguvu ni kitu cha kupita ... Mahita alijifanya shababe,hukuona tofauti alipokuja Saidi Mwema?? Haliyake ni fundisho kwetu, kujifanya sijui dini NK yote umeyatoa wapi??? Kibri sio kizuri tuwe humble...wapo wengi hata mzee Makamba alikuwa na kibri pia.
 
Kuna mmoja alijiitaga Komandoo, Salmon Amour .
Anateseka huyo ni kipofu Kwa sasa
Kufa hafi ila ni mateso tu anapitia
 
Umesahau sifa moja, ndiye IGP ambaye kipindi chake kulikuwa na ujambazi mwingi
 
Naona mtaalam wa silaha na mavifaru unampa mtu elimu kidogo 😄

Ova
 
Maaskari wengi hata wa vyeo vya juu wakistaafu huwa inakuwa tabu tupu.

Kuna mmoja ni mstaafu wa cheo cha SACP nilimuona kwenye social media akitoa mafunzo. Hivi sasa anaishi kijijini.
Mwingine kajinunulia jeneza na kujichimbia kaburi
 
Uzee ni laana? Mtu mzee akichechemea na kutembea kwa fimbo anakuwa mlaaniwa?
Mbona wenzake wakuu wa majeshi wastaafu hawachechemei, lakini kwanini wakuu wa polisi wakistaafu hawapewi Nafasi za kuteuliwa kama wenzao wa Jwtz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…