Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwani mtu akitakiwa atukanwe huwa anaanzwa kwa kuamkiwa?Sio umri sawa. Kama Mahita mnadai kalaaniwa ndio maana anatembea kwa mkongojo na mnamlinganisha na Mwinyi aliyekufa na miaka 98, kwanini hutaki nimlinganishe Mwinyi aliyekufa na 98 dhidi ya Salim Ahmed Salim mwenye miaka 82?
Nani kamlaani Salim Ahmed Salim aliyezidiwa na Mwinyi miaka 16 ila miezi kadhaa sasa hata kuongea hawezi?