kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Ile kesi yake na msichana wa kazi iliisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika kwa uchungu uliochangamana na hofu.Tulia.Ndio maisha yapo mengine au nyie huko chadema mtaendelea kuwa na madaraka hata mkifa?
Laana ya kuwapiga NCCR mageuzi mabomu alipokuwa RPCLaana ya kumkana mtoto inahusika.
Amemkana nani tenaLaana ya kumkana mtoto inahusika.
Al-marhum mzee Ruksa (RIP)hakuwahi kupata kadhia hizo kwa sababu ya kutotunza sumu moyoni.Uzee sio laana hata wewe huwezi piga vitatu
Laana ya kumkataa mtoto.Baba yangu ana miaka 87 mpaka leo anadunda kama wewe na mimi.Uzee ni laana? Mtu mzee akichechemea na kutembea kwa fimbo anakuwa mlaaniwa?
Bwashee huoni mwenyekiti wetu kang'ang'ania madarakani mpaka kifo kitutenganishe?Ndio maisha yapo mengine au nyie huko chadema mtaendelea kuwa na madaraka hata mkifa?
Maisha ni hadithi tuMnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri!
Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake.
Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
Ungemuona komandoo ungelia au ungetimua mbio.Mnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri!
Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake.
Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
Ni hivi uwe muislam uwe...uwe mkristo uwe jambazi uwe rais uwe muuwaji uwe mla rushwa uwe padre uwe shoga uwe mwema uwe na roho mbaya uwe na roho nzuriMnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri!
Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake.
Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
😅😅😅🤣🤣Ndio maisha yapo mengine au nyie huko chadema mtaendelea kuwa na madaraka hata mkifa?
Nyie ndo mna hofu kama kuzeka hata babako kazeekaUmeandika kwa uchungu uliochangamana na hofu.Tulia.
Kwaiyo chadema hawazeekiHuyu hajafa yuko hai
Mbowe mbona aliikuwa akichechemea baada ya kutandika konyagi kubwa akiwa na bibi mdogo Joyce Mukya mbona hiyo maada hukuletaMnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri!
Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake.
Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
Komandoo hivi inawezekana ni laana ile? baada ya muda mfupi kustaafu mke alimkimbia.Ungemuona komandoo ungelia au ungetimua mbio.
Maaskari wengi hata wa vyeo vya juu wakistaafu huwa inakuwa tabu tupu.Huwa wanasahau hao kama kuna maisha mengine nje ya kazi.