IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

Maaskari wengi hata wa vyeo vya juu wakistaafu huwa inakuwa tabu tupu.

Kuna mmoja ni mstaafu wa cheo cha SACP nilimuona kwenye social media akitoa mafunzo. Hivi sasa anaishi kijijini.
Umemuona msaidizi mkuu wa Mahita akiitwa Mwansasu? Nilimuona sehemu za Bahari Beach; kachoka sana!!
Kuna wakati aliajiriwa na Dioniz Malinzi!!
 
Ni kitu cha kawaida mbona, ukizeeka mara nyinyi afya nayo lazima itetereke kwa asimilia kubwa. Nafikiri unachoshangaa hapa ni kwamba jamaa na ubabe wote huamini kama kazeeka. Kimsingi hamna cha ajabu.
Ukitenda haki kwenye nafasi yako usinyanyase wengine. Hakuna atakayeshangaa hata ukitembelea mkongojo. Lakini ukiwa mbabe wa kunyanyasa wengine kama alivyokuwa Mahita, ndo wengine watashangaa kama mleta mada anavyomshangaa IGP Mahita. Maana jana alinyanyasa wengine bila kujua kwamba cheo ni dhamana ya mda.
 
Wabongo tuna matatizo sana.

Huyo Mzee ashazeeka anachezea 75 na zaidi huko unataka awe kama alivyokuwa na 40 huko.

Inanikumbusha CDM walivyokuwa wanamnanga Mzee Ruksa kipindi cha JPM Kila alipokuwa akimsifia JPM.
 
Laana ya kumkataa mtoto.Baba yangu ana miaka 87 mpaka leo anadunda kama wewe na mimi.

Mahita na Mzee wangu walifanyakazi pamoja tena Mzee wangu akimtangulia kuingia kazini.
Mzee wako sio SI unit ya wazee, wala Mahita sio SI unit ya waliokataa watoto.
Unamaanisha wanaozaliwa wakiwa walemavu kutembea hawawezi nao walilaaniwa si ndio. Walilaaniwa lini na kwa kufanya nini.

Unalijua umbo la Omary Mahita enzi zake anastaafu, unalinganisha na umbo la Mwinyi wakati anakuwa Rais aged 60 yrs old? Linganisha ndio utajua genes na lifestyle ndio vinahusika.

Kama unatarajia Peter Msechu atakuwa na uzee sawasawa na Ali Kiba una matatizo kichwani.
 
Salim A Salim ni umri sawa na Mahita?
Sio umri sawa. Kama Mahita mnadai kalaaniwa ndio maana anatembea kwa mkongojo na mnamlinganisha na Mwinyi aliyekufa na miaka 98, kwanini hutaki nimlinganishe Mwinyi aliyekufa na 98 dhidi ya Salim Ahmed Salim mwenye miaka 82?

Nani kamlaani Salim Ahmed Salim aliyezidiwa na Mwinyi miaka 16 ila miezi kadhaa sasa hata kuongea hawezi?
 
Back
Top Bottom