marisi schwein
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 1,037
- 3,146
Tua hilo gunia la maboga ulilobeba shingoni. Babu yako alipokuwa akichechemea alilaaniwa na nani?Laana ya kumkana mtoto inahusika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tua hilo gunia la maboga ulilobeba shingoni. Babu yako alipokuwa akichechemea alilaaniwa na nani?Laana ya kumkana mtoto inahusika.
Lazima tujifunze kutazama Positive katika kila NegativeUmeandika kwa urahisi kama mtu amefurahi anakula senene na mbegu za kahawa/buni.
Unacheka nini?😆😆😆😆😆
Ukisoma katikati ya mistari ni kwamba hasemwi kuhusu utembeaji wake wa kugudemagudema na mkongojo.Inasemwa tabia yake aliyoionesha alipokuwa (mtu)madarakani.Soma kwa utulivu.Walking with a magic-stick and being hunchbacked have got nothing to do with a thread.Kwamba angekuwa mpole na Mtulivu hapo angekuwa anakimbia / anatembea ?
Mwinyi alikuwa mfupi na muscular, vigumu yeye kutumia mkongojo uzeeni. Mtu mrefu au mwenye kitambi kama Mahita ni rahisi uzeeni kutumia mkongojo. Sio laana sanasana ni lifestyle na genes.Uliwahi kusikia Al-marhum mzee A.H.Mwinyi kukebehiwa?Kwa nini?Kukebehiwa ni moja ya vitu vilivyomo kwenye kifurushi cha laana.
Kuhusu urefu au ufupi si kipimo maridhawa cha namna ya kuumudu mwili kulingana na umri.Tukirudi kwa Mzee Salim:Umewahi kusikia anakebehiwa?Kwa nini?Nimerudia muundo wa swali la awali.Tutembee kwa unyenyekevu kila hatua tuikanyagapo ardhi isije kutuzomea.Mwinyi alikuwa mfupi na muscular, vigumu yeye kutumia mkongojo uzeeni. Mtu mrefu au mwenye kitambi kama Mahita ni rahisi uzeeni kutumia mkongojo. Sio laana sanasana ni lifestyle na genes.
Bado niko palepale, kama unamlinganisha Mwinyi na Mahita mimi nitamlinganisha Salim Ahmed Salim na Mahita. Tukiamua kumkashifu S.A.S hawezi zungumza, kutembea wala kujisogeza, je kebehi zetu ni kifurushi cha laana kwake?
Kinyume chake, hakuna wanaomkebehi S.A.S ila mbona hatembei, haongei, hasogei? Sasa laana mnayodai iko kwa nani.
Kabisa bila shaka hata kizazi cha 1995 ambacho baada ya muda wanafikisha miaka 30 na uhakika kabisa hawajaushuhudia uongozi wa mahita wakiwa na ufahamu wa kutosha akiwa IGP kiasi cha kumuelezea, ukiona mtu anauwezo wa kumuelezea ujue nae pia kavuta age kwahiyo mahita kutembelea mkongojo ni halali kabisaSana aisee, miaka hiyo wengine tulikuwa bado madogolasi sana
Naam nimekupata lakini Tabia yake / yako haimaanishi kwamba matatizo yoyote ya uzeeni ni sababu ya tabia yako..., tena kwenye dunia ya Dog eat Dog..., Ukiwa mwizi, fisadi na kujilimbikizia mali hata siku ukifa machawa watabadilisha historia kwamba ulikuwa malaika... Ingawa Binadamu huwa tunajiridhisha kwa kumuona mtu hivyo kwamba anateseka sana (tunashukuru Dua zetu za Kuku zimempata Mwewe).....Ukisoma katikati ya mistari ni kwamba hasemwi kuhusu utembeaji wake wa kugudemagudema na mkongojo.Inasemwa tabia yake aliyoionesha alipokuwa (mtu)madarakani.Soma kwa utulivu.Walking with a magic-stick and being hunchbacked have got nothing to do with a thread.
Kuwa mwelewa ww mleta mada anasema mbabe mahita kibri mahita mkorofi mahita IGP mstaafu kazeeka mpaka anachechemea ubabe ukorofi umwamba kwishiria mbali sasa ghafla ww unageuza maneno unaleta yakoUzee ni laana? Mtu mzee akichechemea na kutembea kwa fimbo anakuwa mlaaniwa?
Kama huyu ndo Mahita amekaa kibabe sana Acha tu mleta uzi afanye sherehe inawezekana aliwahi kujaa kwenye 18 zake
Ameelekezwa awe anasoma komenti katikati ya mistari.Kuwa mwelewa ww mleta mada anasema mbabe mahita kibri mahita mkorofi mahita IGP mstaafu kazeeka mpaka anachechemea ubabe ukorofi umwamba kwishiria mbali sasa ghafla ww unageuza maneno unaleta yako
Huyu mstaafu alikuwa kibri hasa mbabe kwelikweli na kampauni yao ya mabasi ya buffaloHaijalishi , bali uzi huu uwe somo kwamba baada ya madaraka kuna maisha mengine
Hivi umbo kama la Msechu linaweza kukuletea athari wakati wa uzee?Mzee wako sio SI unit ya wazee, wala Mahita sio SI unit ya waliokataa watoto.
Unamaanisha wanaozaliwa wakiwa walemavu kutembea hawawezi nao walilaaniwa si ndio. Walilaaniwa lini na kwa kufanya nini.
Unalijua umbo la Omary Mahita enzi zake anastaafu, unalinganisha na umbo la Mwinyi wakati anakuwa Rais aged 60 yrs old? Linganisha ndio utajua genes na lifestyle ndio vinahusika.
Kama unatarajia Peter Msechu atakuwa na uzee sawasawa na Ali Kiba una matatizo kichwani.
Inategemea kama unalimudu au laa.Hivi umbo kama la Msechu linaweza kukuletea athari wakati wa uzee?
huyo simfahamu au simkumbuki.Umemuona msaidizi mkuu wa Mahita akiitwa Mwansasu? Nilimuona sehemu za Bahari Beach; kachoka sana!!
Kuna wakati aliajiriwa na Dioniz Malinzi!!
Tuwekee picha tulinganishe.Halafu mtoto mwenyewe sasa , Mahita Mtupu !
Uzee ni kwa kila mtu na pengine wengi hawatabahatika kufika hata umri wa kuchechemea kama yeye. Hii thread mimi naichukulia kama alarm inayoonyesha chuki iliyopo kati ya wananchi wa kawaida na viongozi wetu. Hili siyo jambo zuri na badala ya kubeza, inatakiwa tubadilike. Japo kiongozi kamwe hawezi kupendwa na watu wote, lakini kwa Tanzania idadi ya wananchi wanaochukia na kuombea mabaya viongozi imekuwa ikiongezeka kwa kasi kubwa. Hii ni kwa sababu viongozi wamesahau wajibu kwao kwa wananchi ambao wanaishi kwenye umaskini wa hali ya juu.Kati ya yeye na baba yako nani anachechemea zaidi?
Wakubwa kama hawa hawana pension nzuri?Umemuona msaidizi mkuu wa Mahita akiitwa Mwansasu? Nilimuona sehemu za Bahari Beach; kachoka sana!!
Kuna wakati aliajiriwa na Dioniz Malinzi!!
Wewe ndiye umeelewa hasa thread inalenga nini.Ukisoma katikati ya mistari ni kwamba hasemwi kuhusu utembeaji wake wa kugudemagudema na mkongojo.Inasemwa tabia yake aliyoionesha alipokuwa (mtu)madarakani.Soma kwa utulivu.Walking with a magic-stick and being hunchbacked have got nothing to do with a thread.