IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

Mbona wenzake wakuu wa majeshi wastaafu hawachechemei, lakini kwanini wakuu wa polisi wakistaafu hawapewi Nafasi za kuteuliwa kama wenzao wa Jwtz?
Elimu Elimu Elimu
 
Tabia za watu waliolala nyumba moja na mifugo kama mbuzi na kuku nyumbani kwao, bila jitihada za makusudi na kujitambua wanabaki na mentality za ajabu ajabu.
Mtu anakwambia mzee 70yrs+ anayetembea kwa mkongojo kalaaniwa.
Kweli miaka sabini bado anatakiwa awe anatembea mwenyewe na ukizingatia yete alikua kiongozi ana maisha mazuri umuoni Trump yeye ana dunda.
 
Mnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri!

Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake.

Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
Tutaacha kuja kwenye misiba ili isiwe tabu...
 
Mbona wenzake wakuu wa majeshi wastaafu hawachechemei, lakini kwanini wakuu wa polisi wakistaafu hawapewi Nafasi za kuteuliwa kama wenzao wa Jwtz?
Major General Mbuge kastaafu mwaka huu na kafariki mwaka huu hata miezi minne hajakaa. Naye kalaaniwa? Mbona hajaishi muda mrefu kumzidi Mahita.

Kama wakuu wa polisi hawateuliwi nafasi wakistaafu, mstaafu IGP Mangu alipokuwa Balozi nchini Rwanda aligombea huo ubalozi?
Mstaafu IGP Sirro ni Balozi nchini Zimbabwe, karithi cheo si ndio?

Hayo mambo ya mtu mzee miaka sijui 87 mnasema anachechemea hivyo kalaaniwa ni ushamba. Ulitaka kwa umri huo aruke sarakasi?
 
Karma hizo at the age of 70s Kwa MTU aliyekuwa well of unabidi kuwa unadunda.
 
Kweli miaka sabini bado anatakiwa awe anatembea mwenyewe na ukizingatia yete alikua kiongozi ana maisha mazuri umuoni Trump yeye ana dunda.
Anatakiwa na nani? Uliwahi umba hata konokono mpaka upangie watu wanatakiwa waweje kwa umri fulani?

Mtume Muhammad hakufikisha hata hiyo miaka 70. Alilaaniwa?

Yesu Kristo hata miaka 40 hakufika. Naye alilaaniwa?

Mahita kastaafu 2006 hadi leo yupo anadunda. Ina maana ana baraka na neema kuwazidi hao wawili?

Kwahiyo kwakuwa Trump anadunda kwa umri huo, naye amewazidi Yesu Kristo na Mtume Muhammad. Wao wana laana eti?
 
Kulikoni unatumia nguvu sana kumpambania huyu mzee?
Kuwa hai hadi leo ni mpango wa MUNGU ili kumfunza yeye na washenzi wenzake kuwa,vyeo,madaraka na mamlaka vina ukomo na kuna maisha baada ya hayo yote.
Huyu mzee ni miongoni mwa miungu watu waliotumia ofisi[vyeo/mamlaka]zao vibaya kwa kudhulumu wanyonge haki ya kisheria,mali,na hata haki ya kuishi [kuua],alimiliki vikundi vya kijambazi na hata mashine/mtambo wa kuchapisha noti bandia.
Matendo yake yalikuwa bayana.
 
Major General Mbuge kastaafu mwaka huu na kafariki mwaka huu hata miezi minne hajakaa. Naye kalaaniwa? Mbona hajaishi muda mrefu kumzidi Mahita.

Kama wakuu wa polisi hawateuliwi nafasi wakistaafu, mstaafu IGP Mangu alipokuwa Balozi nchini Rwanda aligombea huo ubalozi?
Mstaafu IGP Sirro ni Balozi nchini Zimbabwe, karithi cheo si ndio?

Hayo mambo ya mtu mzee miaka sijui 87 mnasema anachechemea hivyo kalaaniwa ni ushamba. Ulitaka kwa umri huo aruke sarakasi?
IGP Sirro na Mangu wao waliondolewa kabla ya muda wao wa kustaafu ndiyo maana wamepelewa uko Ubalozini we unafiri wange staafu wangepewa huo Ubalozi?
Na huyo Mbuge alikua mgonjwa wa kisukari tokea kitambo na alikua mlevi sana wa pombe.
 
Ikiwa alikuwa mla rushwaa,kubambikia watu kesi za urongo lazima laana zihamie kwake.
Siyo yeye tu ni kwa polisi wote wame laaniwa yani ukiwana wakiwa nje ya uniform wamechoka wanakua kama wana matatizo ya akilia yani wanakua tofauti na wenzao wa Jwtz yani umchukue Murilo na umchukue ofisa wa Jwtz mwenye cheo cha kufanana ukiwaweka hapo utaona kuna utofauti mkubwa mno wa kimuonekano, Mfano Mchukue Mabeyo, Mgunda na Mchukue Sirro na Wambura utaona kabisa Viongozi wa polisi wapo hovyo wana sura mbaya za kikatili na za kuonea Watanzania na kuwazurumu haki zao za kuishi na za kiuchumi.
 
Kulikoni unatumia nguvu sana kumpambania huyu mzee?
Kuwa hai hadi leo ni mpango wa MUNGU ili kumfunza yeye na washenzi wenzake kuwa,vyeo,madaraka na mamlaka vina ukomo na kuna maisha baada ya hayo yote.
Huyu mzee ni miongoni mwa miungu watu waliotumia ofisi[vyeo/mamlaka]zao vibaya kwa kudhulumu wanyonge haki ya kisheria,mali,na hata haki ya kuishi [kuua],alimiliki vikundi vya kijambazi na hata mashine/mtambo wa kuchapisha noti bandia.
Matendo yake yalikuwa bayana.
Uki msimamisha yeye na wenzake wakina Waitara na Mbona utaona utofauti mkubwa sana wenzake babo wanadunda kwasababu hawajawahi kuua raia na kuwapora mali.
 
Back
Top Bottom