IGP Simon Sirro, kwanini askari polisi wanatumwa field na silaha nzito wamevaa kiraia? Kwanini unatuma askari na silaha nyingi tukio dogo la kiraia?

IGP Simon Sirro, kwanini askari polisi wanatumwa field na silaha nzito wamevaa kiraia? Kwanini unatuma askari na silaha nyingi tukio dogo la kiraia?

Hapo wapo sawa mabomu ya machozi yatawasaidia paletu zali likitokea maana walienda kumkamata mtu je wale ndugu wakichachamaa unafikiri nini kinweza tokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa kivipi kwani hapo Iringa hawakumuua mwandishi aliyekuwa na Kamera tu, je Akwilina
kwani WP au Nurse asingemrejesha kwenye Karantine

Busara ni muhimu sio lazima umrudishe Italy au Dsm hata hapo Iringa karantini inawezekana
tusiwe km Rwanda yanayoendelea
 
Tatxo mnapenda kulaumu kila jambo na ambalo hulijui..
Tambua kwamba askar muda wote yupo kazn na utambue kwamba adui hana hodi wala taarifa hvyo kama askar unatakiwa uwe timamu kwa kila kitu.

Pia utambue kuwa silaha kwa askar ni kitendea kazi ambacho anatakiwa kuwa nacho muda wote na sio kwa matakwa yako ww usiyejua kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa somo.Hata kwenye tukio dogo,silaha nzito nzito.Kuvalia kiraia.Wakati mwingine huwezi tofautisha na wale wenyewe
 
We jamaa mbona unataka leta ubishi na hoja za kipuuzi aisee. Mtu katoroka karantini, je utajuaje huko alikokimbilia kama alikuwa na silaha au hakuwa nayo? Halafu suala la kukimbia tu sehemu ambayo ni salama kwa afya ya wengine wewe huoni kama hilo ni azimio ovu?
Kuhatarisha afya ya watu wengine huoni kuwa ni kosa? Kila mtu anajua tatizo lililopo na zaidi tunashauriwa kujitenga iwapo unahisi unaweza kuwa na maambukizi, halafu kwa ujeuri mtu anakaidi, sasa ulitaka jeshi la polisi limfate na makaratasi ya kuandikisha maelezo?
Kubeba silaha sio lazima kuzitumia na ukumbuke hiyo ni moja ya nyenzo yao ya kazi, kama vile wewe unavobeba kalamu na chaki kwenda kufundisha [emoji3525][emoji3525]
Bebeeni tu hata paspostahili watu wazoee !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi haiko vitani, unapeleka kikosi cha polisi kumkamata mwanamke mmoja aliyetoroka kambi ya Corona utafikiri unaenda kumkamata kiongozi wa Al-Qaeda, Unataka kumtisha nani na askari wako na silaha zao, wananchi wa Tanza
Watanzania tuna matatizo sana.kujifanya wajuaji
Mtu mmoja anaweza kuambikza watu.800 ndani ya dakika 5 tu halafu.unasema.nchi haiko vitani
Hujui polisi wanafanya

vipi.operesheni.zao kwa hiyo kaa kimya tu
Kwa mfano imepigwa redio kwamba kuna mtu hatari ametoroka na.ana corona.yupo iringa sokoni,maana.yake gari yoyote ya patrol ilio karibu incharge .wake.ndio.atakua wa kwanza kufika,bila ya kujali wamevaa vichupi au wana mishale,watakama tu

Sijui ulitaka wazitupe kwanza bunduki,wavae sare ndipo,wakakamate huyo mueneza corona.halafu warudie bunduki?
Yoyote anaeneza corona.kwa makusudi ni wa kuuwa kama panya tu
 
Acha povu bwanamdogo PGO ni Police General Orders. Hivyo ulikuja na hamaki kwa kulaumu ufavaaji huo, kana kwamba kwenye PGO wamevunja kifungu.
Ndio kusema nakutaka kukufunda kabla hujalalamika suala ambalo hulifahamu jitahidi ufahamu nalo kabla ya kutoa lalamiko.

Lalamiko ni hitimisho kwamba walikosea kwa mujibu wako, by theway nisamehe hapo juu kama nilitumia lugha mbaya.
Hamna lolote wapuuzi nyie mnapenda show off tu, nataman mngekuwa mnapelekwa japo hapo somalia tuone huo ujinga wenu, yaan mnatumia nguvu kuliko akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao askari huo ushujaa wanauweza kwa raia wasio hata na bisibisi , ila .mtiti Waite uwaambie Kuna majambazi sehemu uone kama utayaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, tena wanaanza kukuuliza " wako wangapi?" "wamebeba silaha au? ", "muonekano wao upoje? " yaani in uoga tu umewajaa, ila wakiwaona akina mama wanaandamana ndio utawaona dk 0 tu wamevaa kivita na silaha nzito nzito eti wanaenda kutuliza hali,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka watumwe na silaha ndogo ili uwafanye nini askari wetu?

Au ndiyo nyie wauaji wa Kibiti ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Una maana wanatumwa lmg kuua sisimizi? Umenikumbusha kisa kimoja cha polisi wenye silaha mbele ya watoto wa shule ya msingi waliosoma kuingia darasani kushinikiza liwekwe tuta barabarani kuzuia magari kuua wanafunzi huko Moshi miaka ya nyuma sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka watumwe na silaha ndogo ili uwafanye nini askari wetu?

Au ndiyo nyie wauaji wa Kibiti ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi jamaa kanitia mashaka,harafu anatoa povu kinoma,inawezekana aliekamatwa ni mama yake walitaka kumtetea ila askari wakawa wengi. Hakuna kujiamini kama haujui nguvu ya mpinzani wako,hivyo ndivyo askari wanafundishwa.[emoji2][emoji2][emoji2]

macson
 
Tatizo lenu nyie askari ubabe wenu wote mnaufanyia uraiani. Siku mkikutana na wanaume wenyye kujibu mapigo mnatimua mbio! Mnapigiwa simu eneo limevamiwa na majambazi mnaenda mkijua majambazi wameshaondoka. Kumkamata mwanamke aliyetoroka kambi ya Corona mnaenda na silaha hata wanajeshi wakiwa vitani hawabebi silaha namna hiyo!
Jeshi la nchi gani hilo lenye hawabebi silaha nzito mkuu?

macson
 
Sasa huko wameenda kupeleza kitu gani? Uliona askari anaenda kupeleleza kajivalisha mibomu ya machozi kama hana akili sawa?

Askari wawili wenye SMG walitosha kabisa, na hata bila kuwa na silaha isingekuwa tatizo. Hata mmoja, kwa sababu hili sio tukio ambalo lingeweza kuleta vurugu.

Au labda huyo mwanamke ni mwanachama wa Chadema!
Wewe unapimaje kama tukio halitahitaji nguvu,kwanini usingempeleka tu huyo mama kituoni kama ni issue ndogo na ulijua ni ndogo?

macson
 
Hawa ata maskani wanatutimbia wamevaa mabomu difenda 4 ..ukiuliza nini wanakamata Ganja , Halafu wana wenyewe hatuna hata bisibisi
Sasa mkuu utamuamini vipi mtu usiemjua kama hana kitu cha kukudhuru,tena unahisi kabisa ni mpiga ganja? Mkuu kuna mazingira askari anashauriwa kukimbia kama akiona nguvu aliyonayo haitoshi kumkabili mtuhumiwa wa uharifu,hivyo kwenda kamili ni busara zaidi kuliko kwenda then urudi kuongeza nguvu,unaweza usimkute mlengwa.

Wanatujua, watu mpaka wanatafuta kijiwe wajifiche inamaana wanaogopa chombo cha dola! Tungekua na hiyo nguvu mkuu tungevuta hadharani. Kutujia maskani difenda nne na mabomu maskani yenyewe hatuzidi watu5 Ni ubabe usio na ulazima na ufujaji wa mafuta. Kuna matukio ya kubeba kituo kizima mzee, nafikiri kwenye Vituo vyetu hakunaga kitengo cha wabobezi wanaosoma criminal mind.
 
Waambie hao wanaoitwa 'wanaume' wajaribu kuleta fyoko fyoko saizi. Iliku tunaogopa kuua lakini saiz hatucheki na nyani... Namalizia kwa kusema jaribu uone
Tatizo lenu nyie askari ubabe wenu wote mnaufanyia uraiani. Siku mkikutana na wanaume wenyye kujibu mapigo mnatimua mbio! Mnapigiwa simu eneo limevamiwa na majambazi mnaenda mkijua majambazi wameshaondoka. Kumkamata mwanamke aliyetoroka kambi ya Corona mnaenda na silaha hata wanajeshi wakiwa vitani hawabebi silaha namna hiyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatujua, watu mpaka wanatafuta kijiwe wajifiche inamaana wanaogopa chombo cha dola! Tungekua na hiyo nguvu mkuu tungevuta hadharani. Kutujia maskani difenda nne na mabomu maskani yenyewe hatuzidi watu5 Ni ubabe usio na ulazima na ufujaji wa mafuta. Kuna matukio ya kubeba kituo kizima mzee, nafikiri kwenye Vituo vyetu hakunaga kitengo cha wabobezi wanaosoma criminal mind.
wewe mama acha visa.

umeshawahi shuhudia ukamataji wa polisi eneo lolote,ukafanikiwa bila pingamizi???

huku mtaani tuna usela mavi sana wa kujifanya wapigania haki tusizozijua,visa kibao vya polisi kudhulika ama kushindwa kutekeleza majukumu yao vimeripotiwa.na nyinyi humu ndio wa kwanza kubeza.

zile silaha sio kwa ajili ya mauzo zinapiga kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom