sawa kivipi kwani hapo Iringa hawakumuua mwandishi aliyekuwa na Kamera tu, je AkwilinaHapo wapo sawa mabomu ya machozi yatawasaidia paletu zali likitokea maana walienda kumkamata mtu je wale ndugu wakichachamaa unafikiri nini kinweza tokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa somo.Hata kwenye tukio dogo,silaha nzito nzito.Kuvalia kiraia.Wakati mwingine huwezi tofautisha na wale wenyeweTatxo mnapenda kulaumu kila jambo na ambalo hulijui..
Tambua kwamba askar muda wote yupo kazn na utambue kwamba adui hana hodi wala taarifa hvyo kama askar unatakiwa uwe timamu kwa kila kitu.
Pia utambue kuwa silaha kwa askar ni kitendea kazi ambacho anatakiwa kuwa nacho muda wote na sio kwa matakwa yako ww usiyejua kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bebeeni tu hata paspostahili watu wazoee !!We jamaa mbona unataka leta ubishi na hoja za kipuuzi aisee. Mtu katoroka karantini, je utajuaje huko alikokimbilia kama alikuwa na silaha au hakuwa nayo? Halafu suala la kukimbia tu sehemu ambayo ni salama kwa afya ya wengine wewe huoni kama hilo ni azimio ovu?
Kuhatarisha afya ya watu wengine huoni kuwa ni kosa? Kila mtu anajua tatizo lililopo na zaidi tunashauriwa kujitenga iwapo unahisi unaweza kuwa na maambukizi, halafu kwa ujeuri mtu anakaidi, sasa ulitaka jeshi la polisi limfate na makaratasi ya kuandikisha maelezo?
Kubeba silaha sio lazima kuzitumia na ukumbuke hiyo ni moja ya nyenzo yao ya kazi, kama vile wewe unavobeba kalamu na chaki kwenda kufundisha [emoji3525][emoji3525]
Watanzania tuna matatizo sana.kujifanya wajuajiNchi haiko vitani, unapeleka kikosi cha polisi kumkamata mwanamke mmoja aliyetoroka kambi ya Corona utafikiri unaenda kumkamata kiongozi wa Al-Qaeda, Unataka kumtisha nani na askari wako na silaha zao, wananchi wa Tanza
Hamna lolote wapuuzi nyie mnapenda show off tu, nataman mngekuwa mnapelekwa japo hapo somalia tuone huo ujinga wenu, yaan mnatumia nguvu kuliko akili.Acha povu bwanamdogo PGO ni Police General Orders. Hivyo ulikuja na hamaki kwa kulaumu ufavaaji huo, kana kwamba kwenye PGO wamevunja kifungu.
Ndio kusema nakutaka kukufunda kabla hujalalamika suala ambalo hulifahamu jitahidi ufahamu nalo kabla ya kutoa lalamiko.
Lalamiko ni hitimisho kwamba walikosea kwa mujibu wako, by theway nisamehe hapo juu kama nilitumia lugha mbaya.
Kweli kabisa, tena wanaanza kukuuliza " wako wangapi?" "wamebeba silaha au? ", "muonekano wao upoje? " yaani in uoga tu umewajaa, ila wakiwaona akina mama wanaandamana ndio utawaona dk 0 tu wamevaa kivita na silaha nzito nzito eti wanaenda kutuliza hali,Hao askari huo ushujaa wanauweza kwa raia wasio hata na bisibisi , ila .mtiti Waite uwaambie Kuna majambazi sehemu uone kama utayaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Una maana wanatumwa lmg kuua sisimizi? Umenikumbusha kisa kimoja cha polisi wenye silaha mbele ya watoto wa shule ya msingi waliosoma kuingia darasani kushinikiza liwekwe tuta barabarani kuzuia magari kuua wanafunzi huko Moshi miaka ya nyuma sana.Unataka watumwe na silaha ndogo ili uwafanye nini askari wetu?
Au ndiyo nyie wauaji wa Kibiti ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi jamaa kanitia mashaka,harafu anatoa povu kinoma,inawezekana aliekamatwa ni mama yake walitaka kumtetea ila askari wakawa wengi. Hakuna kujiamini kama haujui nguvu ya mpinzani wako,hivyo ndivyo askari wanafundishwa.[emoji2][emoji2][emoji2]Unataka watumwe na silaha ndogo ili uwafanye nini askari wetu?
Au ndiyo nyie wauaji wa Kibiti ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi la nchi gani hilo lenye hawabebi silaha nzito mkuu?Tatizo lenu nyie askari ubabe wenu wote mnaufanyia uraiani. Siku mkikutana na wanaume wenyye kujibu mapigo mnatimua mbio! Mnapigiwa simu eneo limevamiwa na majambazi mnaenda mkijua majambazi wameshaondoka. Kumkamata mwanamke aliyetoroka kambi ya Corona mnaenda na silaha hata wanajeshi wakiwa vitani hawabebi silaha namna hiyo!
Wewe unapimaje kama tukio halitahitaji nguvu,kwanini usingempeleka tu huyo mama kituoni kama ni issue ndogo na ulijua ni ndogo?Sasa huko wameenda kupeleza kitu gani? Uliona askari anaenda kupeleleza kajivalisha mibomu ya machozi kama hana akili sawa?
Askari wawili wenye SMG walitosha kabisa, na hata bila kuwa na silaha isingekuwa tatizo. Hata mmoja, kwa sababu hili sio tukio ambalo lingeweza kuleta vurugu.
Au labda huyo mwanamke ni mwanachama wa Chadema!
Tatizo labda iwe hizo silaha ila sio nguo.
Hao askari wa idara ya upepelezi, ambao kimajukumu hawavai uniform.
Sasa mkuu utamuamini vipi mtu usiemjua kama hana kitu cha kukudhuru,tena unahisi kabisa ni mpiga ganja? Mkuu kuna mazingira askari anashauriwa kukimbia kama akiona nguvu aliyonayo haitoshi kumkabili mtuhumiwa wa uharifu,hivyo kwenda kamili ni busara zaidi kuliko kwenda then urudi kuongeza nguvu,unaweza usimkute mlengwa.Hawa ata maskani wanatutimbia wamevaa mabomu difenda 4 ..ukiuliza nini wanakamata Ganja , Halafu wana wenyewe hatuna hata bisibisi
Wanatujua, watu mpaka wanatafuta kijiwe wajifiche inamaana wanaogopa chombo cha dola! Tungekua na hiyo nguvu mkuu tungevuta hadharani. Kutujia maskani difenda nne na mabomu maskani yenyewe hatuzidi watu5 Ni ubabe usio na ulazima na ufujaji wa mafuta. Kuna matukio ya kubeba kituo kizima mzee, nafikiri kwenye Vituo vyetu hakunaga kitengo cha wabobezi wanaosoma criminal mind.Sasa mkuu utamuamini vipi mtu usiemjua kama hana kitu cha kukudhuru,tena unahisi kabisa ni mpiga ganja? Mkuu kuna mazingira askari anashauriwa kukimbia kama akiona nguvu aliyonayo haitoshi kumkabili mtuhumiwa wa uharifu,hivyo kwenda kamili ni busara zaidi kuliko kwenda then urudi kuongeza nguvu,unaweza usimkute mlengwa.
macson
Tatizo lenu nyie askari ubabe wenu wote mnaufanyia uraiani. Siku mkikutana na wanaume wenyye kujibu mapigo mnatimua mbio! Mnapigiwa simu eneo limevamiwa na majambazi mnaenda mkijua majambazi wameshaondoka. Kumkamata mwanamke aliyetoroka kambi ya Corona mnaenda na silaha hata wanajeshi wakiwa vitani hawabebi silaha namna hiyo!
unatamani tena,wee jamaa acha uchawiHamna lolote wapuuzi nyie mnapenda show off tu, nataman mngekuwa mnapelekwa japo hapo somalia tuone huo ujinga wenu, yaan mnatumia nguvu kuliko akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
achana na walevi hawa.Waambie hao wanaoitwa 'wanaume' wajaribu kuleta fyoko fyoko saizi. Iliku tunaogopa kuua lakini saiz hatucheki na nyani... Namalizia kwa kusema jaribu uone
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe mama acha visa.Wanatujua, watu mpaka wanatafuta kijiwe wajifiche inamaana wanaogopa chombo cha dola! Tungekua na hiyo nguvu mkuu tungevuta hadharani. Kutujia maskani difenda nne na mabomu maskani yenyewe hatuzidi watu5 Ni ubabe usio na ulazima na ufujaji wa mafuta. Kuna matukio ya kubeba kituo kizima mzee, nafikiri kwenye Vituo vyetu hakunaga kitengo cha wabobezi wanaosoma criminal mind.
ungeujaribu kuwa jambazi kwanza kama unadhani kuwa mpinzani tz uko hatarini sana.halafu uone.Hilo neno. Nguvu inayotumika kudhibiti chadema, ikitumika kudhibiti ujambazi, Tanzania biashara zingefanyika saa 24 kwa siku.
Sent using Jamii Forums mobile app