Kyodowe
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,236
- 1,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PotiUmeambiwa kikosi cha dharula zote. Ndiyo maana mnasema polisi wanawaonea kumbe umbuumbu wenu. Ukiangalia magari ya Polisi yote yana silaha kubwa muda wote na hawaruhusiwi kutembea bila silaha. Sasa unataka wakakamate kwa kutumia fimbo? .Umeambiwa kikosi cha kupambambana na Ujambazi inamaana majambazi hawezi kujitokeza alipojificha Mgonjwa wa Corona?. Jiulize hiyo bunduki Kubwa inazuia nini Polisi kukamata.Maana hawajaitumia kumpiga Mgonjwa. Akili ndogo wewe unafikiri ujambazi unatoa taarifa kuwa leo tutapiga kwa Mgonjwa wa Corona?. Haya umejiuliza kwanini huyo mgonjwa amekimbia karantini?. Ujinga tu unakusumbua unajifanya unaujua ulinzi wa Nchi kumbe Mbumbumbu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa uko mbali sana. Nimesema hivyo? Suala la kuvaa kiraia ukiwa umekamilika na silaha nimeuliza swali.sijasema wamevunja sheria. Hivi hiyo mitihani ya upolisi mnapita kweli? Unashindwa kuunganisha hizi doti unawezaje kufanya upelelezi unaohitaji kutumia akili kutambua mambo? Ndio maana kesi nyingi zinafungwa bila kupatiwa ufumbuziKwa hiyo kwa akili zako kwenda na nguo za kiraia na silaha unajua wamevunja taratibu na kanuni za jeshi la polisi Tanzania?
Heheheh! Sasa wewe unatafuta sababu kupewa cheti cha kushindwa kufikiri. Hao watu waliochukizwa wangesubiri polisi wafike ndio wafanya mashambulizi sivyo? Na saa zote walikuwa wanajua jirani katoroka kambi ya Corona wamekaa kimya tu wanasubiri polisi wakimfuata ndio waonyeshe kuchukizwa na kitendo cha huyo mama?Umesahau kuna watu wamechukizwa na alichofanya huyo Mgonjwa. Au uwajui wananchi wenye hasira Kali wangefanya nini. Mwanajamiiforums mwenzangu muda mwingine uwe anaangalia na kukaa kimya. Maana umbumbumbu wako ni mkubwa hujawahi hata kuwa kupewa nafasi ya kuongoza watoto wenzako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu P.G.O zinaongoza jeshi la polisi? Kama ndio wamevunja P.G.0 ipi/zipi?
Maana hapa naona tunabishana kitoto.
Dogo kunywa maji relaxAcha ulimbukeni wewe na PGO zako.Jenga hoja ueleweke, km PGO inaelekeza hivyo, weka hoja ni kwa nini huo utaratibu upo hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu angalia huyu askari wenu wa kudeal na raia watukutu - au ndio wa kikosi cha ujambazi? Silaha na kandambili? Na mnajiita professional? Na hapo uko na Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama anaona sawa tu? Nyie ni komedi kweliHuwa kuna kikosi cha kushughulikia ujambazi na cha matukio ya kawaida ya raia watukutu.
Sasa kama wale wa ujambazi wana upungufu kwenye utendaji ni wao, sisi huku wa kudili na raia watukutu huwa tunajituma.
Silaha ni za serekali, kandambili ni za kwake.Hebu angalia huyu askari wenu wa kudeal na raia watukutu - au ndio wa kikosi cha ujambazi? Silaha na kandambili? Na mnajiita professional? Nyie ni komedi kweli
View attachment 1408662
Na suruali? Na tisheti? Na yuko kazini, field. Halafu Sirro anatuaminisha ana jeshi makini lilio prefessional?Silaha ni za serekali, kandambili ni za kwake.
Haaaaaaaaa. Wewe mbumbumbu umepewa sababu kwanini wapo kiraia, kuwa wapo idara ya Upelelezj, wazako wamehoji juu ya silaha umeambia kwa dharula yoyote iitakayojitokeza. Mmoja kahoji Corona ni Dharula niemueleza nidharula kubwa Sana. Kuna kauliza kuna ulazima gani kwenda na silaha nzito/kubwa nikamueleza ndiyo moja ya vitendea kazi vyao. Kulikuwa na ulazima gani kiende kikosi kile. Wait walipewa kieneo hicho kumtafuta anayehisiwa Mgonjwa maana hata Sasa wewe unataka iende Ambulance umesahau kuwa amekataa kutii shetia bila shuruti. Maana aliambiwa akae karantini ametoroka. Lijitu hata kufikkuri kwanini ametoroka?. Hali za hao askari zitakuwaje baada ya kumamata Hugo mtu. Je wananchi wrnye hasira kali wangefanya nini juu ya Mtu anayetaka kusambaza virusi. Unawaza silaha zao ukasahau Kabisa kuwa Afrika mashariki sisi ndiyo Nchi pekee hgatupo katika Vita ya bunduki kwasababu ya Mifumo ya ulinzi wa Nchi. Kwa upande wangu nawapongeza hao Mapolisi kwa kazi nzuri waliofanya. Sasa kama wewe ungekuwa IGP sijuk ungetuma kikosi gani kumkamata ambacho hakitembei na bunduki. iHeheheh! Sasa wewe unatafuta sababu kupewa cheti cha kushindwa kufikiri. Hao watu waliochukizwa wangesubiri polisi wafike ndio wafanya mashambulizi sivyo? Na saa zote walikuwa wanajua jirani katoroka kambi ya Corona wamekaa kimya tu wanasubiri polisi wakimfuata ndio waonyeshe kuchukizwa na kitendo cha huyo mama?
Au labda hao polisi walipoenda kumchukua walifanya matangazo mtaani, jamani eeh, tumekuja kumchukua jirani yenu alitoroka kambo ya Corona lakini msipandishe hasira tumekuja na silaha!
Unaona jinsi unavyohitaji kutumia ubongo wako kufikiria mambo sio unajibu tu thread? Mbumbumbu nani sasa hapa? Na wewe utakuwa umeathirika na ile harufu ya polisi
maliza [emoji90],arafu uje uandike vizuri.Unataka watumwe na silaha ndogo ili uwafanye nini askari wetu?
Au ndiyo nyie wauaji wa Kibiti ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaaaaaa. Wewe mbumbumbu umepewa sababu kwanini wapo kiraia, kuwa wapo idara ya Upelelezj, wazako wamehoji juu ya silaha umeambia kwa dharula yoyote iitakayojitokeza. Mmoja kahoji Corona ni Dharula niemueleza nidharula kubwa Sana. Kuna kauliza kuna ulazima gani kwenda na silaha nzito/kubwa nikamueleza ndiyo moja ya vitendea kazi vyao. Kulikuwa na ulazima gani kiende kikosi kile. Wait walipewa kieneo hicho kumtafuta anayehisiwa Mgonjwa maana hata Sasa wewe unataka iende Ambulance umesahau kuwa amekataa kutii shetia bila shuruti. Maana aliambiwa akae karantini ametoroka. Lijitu hata kufikkuri kwanini ametoroka?. Hali za hao askari zitakuwaje baada ya kumamata Hugo mtu. Je wananchi wrnye hasira kali wangefanya nini juu ya Mtu anayetaka kusambaza virusi. Unawaza silaha zao ukasahau Kabisa kuwa Afrika mashariki sisi ndiyo Nchi pekee hgatupo katika Vita ya bunduki kwasababu ya Mifumo ya ulinzi wa Nchi. Kwa upande wangu nawapongeza hao Mapolisi kwa kazi nzuri waliofanya. Sasa kama wewe ungekuwa IGP sijuk ungetuma kikosi gani kumkamata ambacho hakitembei na bunduki. i
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ngoja nikuambie kitu cha kufanya kwa askari wasomi.
Si unasema wanaweza kupata pingamizi? Basi unaweka response team standby mahali sio mbali na tukio. Pale unaenda na ambulance na askari wawili tu, labda mmoja ndio ana silaha kama SMG. Na una radio. Kukitokea pingamizi au vurugu ndio unaita kwenye radio - response unit move in.
Ndivyo askari professional wanavyofanya kazi. Wana avoid antagonistic responses wanaposhughulika na raia.
Ila kama wewe ni askari kama hao najua hayo maneno hapo nimeshakuchanganya
wewe wa kwako hawara yake nani??Mi nipo mbali kidogo,hawara wa wake zao.
Acha upumbavu, mleta hoja ana point nzuri tuu. Inakuwaje askari yuko katika nguo zisizomtambulisha anabeba silaha?expand...
Unafahamu P.G.O zinaongoza jeshi la polisi? Kama ndio wamevunja P.G.0 ipi/zipi?
Maana hapa naona tunabishana kitoto.