Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro, unasemaje kuhusu kauli hii ya SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi?

Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro, unasemaje kuhusu kauli hii ya SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi?

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,413
Reaction score
23,592
ASP Kiondo.JPG

Huyu ndiye SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi

Hebu tumsikilize...

Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba huyu ni afande katika Jeshi la Polisi Tanzania au wenzangu mnasemaje?
 
View attachment 1604283
Huyu ndiye SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi
Hebu tumsikilize...
View attachment 1604292
Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba huyu ni afande katika Jeshi la Polisi Tanzania au wenzangu mnasemaje?
Ndiyo umeziona leo mbona za siku nyingi? Na ukweli utabaki hivyo hivyo tu! Whether you like or not!!
 
View attachment 1604283
Huyu ndiye SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi
Hebu tumsikilize...
View attachment 1604292
Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba huyu ni afande katika Jeshi la Polisi Tanzania au wenzangu mnasemaje?

Apandishwe cheo kwa kuelewana kuilezea kwa ufasha na usahihi job description yake kwa mujibu wa ilani.
 
Apandishwe cheo kwa kuelewana kuilezea kwa ufasha na usahihi job description yake kwa mujibu wa ilani.
Yaani ilani imechukua nafasi ya Katiba! Kumbe asemayo Mh. Tundu Antiphas Lissu ni ukweli mtupu! Kichinjio ni tarehe 28/10/2020! Tusifanye makosa tena...kumbukeni, kosa si kosa ila kurudia kosa!
 
Mtu ambaye nyaya kichwani kwake zimeanza kushika kutu utamtambua tu kwa mwenendo wake
 
Huyu mimi naweza kum - describe kama Afisa wa Jeshi la Polisi asiyelewa wajibu wake..

Na tatizo la jeshi la polisi ndo liko hapa, yaangi WENGI WA POLISI WETU HAWA KUWA WAJINGA wa kutoelewa sheria lakini wamekabidhiwa bunduki kwa jina la wananchi wa Tanzania..!!

Ilani ya chama cha siasa na sheria inayoongoza utendaji wa Jeshi la polisi + katiba ya nchi zinakutana wapi na wapi?

Kwa vyovyote vile ILANI YA CHAMA haiwezi kuwa ndiyo mwongozo wa utendaji kazi katika taasisi unayoitumikia..

Kilichomo kwenye ILANI YA CHAMA CHA SIASA kilichoshinda uchaguzi na kuunda serikali, ni lazima kwanza kitungiwe sheria na kisha sheria hiyo ndiyo iwe mwongozo wa kusimamia kutekeleza kilichokusudiwa au tamkwa na ilani ya chama cha siasa kinachoongoza serikali na kamwe siyo kama hivi anavyofanya huyu afande "Mjinga"...!
 
Back
Top Bottom