Huyu mimi naweza kum - describe kama Afisa wa Jeshi la Polisi asiyelewa wajibu wake..
Na tatizo la jeshi la polisi ndo liko hapa, yaangi WENGI WA POLISI WETU HAWA KUWA WAJINGA wa kutoelewa sheria lakini wamekabidhiwa bunduki kwa jina la wananchi wa Tanzania..!!
Ilani ya chama cha siasa na sheria inayoongoza utendaji wa Jeshi la polisi + katiba ya nchi zinakutana wapi na wapi?
Kwa vyovyote vile ILANI YA CHAMA haiwezi kuwa ndiyo mwongozo wa utendaji kazi katika taasisi unayoitumikia..
Kilichomo kwenye ILANI YA CHAMA CHA SIASA kilichoshinda uchaguzi na kuunda serikali, ni lazima kwanza kitungiwe sheria na kisha sheria hiyo ndiyo iwe mwongozo wa kusimamia kutekeleza kilichokusudiwa na kamwe siyo hivi anavyofanya huyu Afande Mjinga"...!