Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro, unasemaje kuhusu kauli hii ya SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi?

Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro, unasemaje kuhusu kauli hii ya SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi?

View attachment 1604283
Huyu ndiye SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi
Hebu tumsikilize...
View attachment 1604292
Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba huyu ni afande katika Jeshi la Polisi Tanzania au wenzangu mnasemaje?
Sheria ya utumishi wa umma si inakataza huyo bwana kufanya anayofanya hapo, sasa mbona hachukuliwi hatua? Halafu inaonekana hao wananchi sio wote wana-CCM kwa mshangao wao.
 
Kichwani hanna kitu kabisa
Huyo ni SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi...cheo kikubwa tu ndani ya Jeshi La Polisi. Kuna wakati unajiuliza kama nchi hii ina Katiba na kuna mtu aliapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea Katiba. Hata hivyo tarehe 28/10/2020 tunayo nafasi ya kuyafagia haya matakataka yote yasiyoheshimu sheria.
 
Anasemaje kuhusu kauli ya mtoto wa dada ya kumdunga Lisu sindano,
 
View attachment 1604283
Huyu ndiye SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi
Hebu tumsikilize...
View attachment 1604292
Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba huyu ni afande katika Jeshi la Polisi Tanzania au wenzangu mnasemaje?
Nampongeza sana huyu polisi. Amesema ukweli ulivyo katika vitendo!! Polisi yeyote akisema tofauti ni unafiki tu!! Nashauri huyu polisi apandishwe cheo!
 
Tatizo shule.
Huyu kamanda sii kosa lake.
Kosa lipo kwenye kupungukiwa na shule. Yujitahidi kumpa somo la uraia huenda akajielewa/pambanua
Huyu kamanda anashule kuliko yako na anacv ndefu kuliko yako
 
Back
Top Bottom