Huyo ni kada wa CCM na IGP anamuogopa hana cha kusema kwani anastaafu baada ya uchaguzi hataki kutumbuliwa kwa nguvuView attachment 1604283
Huyu ndiye SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa PolisiView attachment 1604292
Hebu tumsikilize...
Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba huyu ni afande katika Jeshi la Polisi Tanzania au wenzangu mnasemaje?
Polisiccm ni chombo binafsi cha CCM kama ilivyokuwa TBCCCM au NECCCMHuyu mimi naweza kum - describe kama Afisa wa Jeshi la Polisi asiyelewa wajibu wake..
Na tatizo la jeshi la polisi ndo liko hapa, yaangi WENGI WA POLISI WETU HAWA KUWA WAJINGA wa kutoelewa sheria lakini wamekabidhiwa bunduki kwa jina la wananchi wa Tanzania..!!
Ilani ya chama cha siasa na sheria inayoongoza utendaji wa Jeshi la polisi + katiba ya nchi zinakutana wapi na wapi?
Kwa vyovyote vile ILANI YA CHAMA haiwezi kuwa ndiyo mwongozo wa utendaji kazi katika taasisi unayoitumikia..
Kilichomo kwenye ILANI YA CHAMA CHA SIASA kilichoshinda uchaguzi na kuunda serikali, ni lazima kwanza kitungiwe sheria na kisha sheria hiyo ndiyo iwe mwongozo wa kusimamia kutekeleza kilichokusudiwa na kamwe siyo hivi anavyofanya huyu Afande Mjinga"...!
Tatizo shule.Huyo ni kada wa CCM na IGP anamuogopa hana cha kusema kwani anastaafu baada ya uchaguzi hataki kutumbuliwa kwa nguvu
Tarehe 28 tunamrudisha mhutu nyumbani kwao Burundi! Hatutaki dikteta la kiintarahamwe TanzaniaKwani ulikuwa hufahamu kuwa CCM ni chama tawala?
Ajabu ni kwamba bado kuna watu hawaamini kinachotokea mbele ya macho yao huo ukweli kwamba Watanzania wameamua kutawaliwa kiimla mwisho Octoba 28. Msisimko nilioushuhudia Babati na Karatu si wa kubeza, wananchi wako tayari kwa mabadiliko...ulaghai wa CCM mwisho 28 Oktoba!Tarehe 28 tunamrudisha mhutu nyumbani kwao Burundi! Hatutaki dikteta la kiintarahamwe Tanzania
Mi nadhani huyo ni Ofisa wa Polisi kutoka jeshi lisilojua wajibu wake!!!Huyu mimi naweza kum - describe kama Afisa wa Jeshi la Polisi asiyelewa wajibu wake..
Hawa polisi wasiojitambua heri waanze tu kufungasha virago la sivyo merikebu inazama nao! Wewe ni polisi na jukumu lako ni kuwalinda Watanzania wote pamoja na mali zao bila kubagua. Halafu unaanza kuongea mambo ya kijinga kama huyu, upumbavu mtupu!Huyu baada ya tarehe 28 hatakuwa na kazi , tuna orodha ya askari duni kama huyu wako zaidi ya 200
Mkuu, ni kweli kabisa unaamini kuwa Lissu na wenzake huko Chadema wanaweza kuimarisha Tanzania na watanzania wote katika nyanja zote!? Ni kweli kabisa hii inatoka rohoni mwako kabisa!? Au ni yale yale mlio mfanyia 'Mbombezi' a.k.a. BCM!?Yaani ilani imechukua nafasi ya Katiba! Kumbe asemayo Mh. Tundu Antiphas Lissu ni ukweli mtupu! Kichinjio ni tarehe 28/10/2020! Tusifanye makosa tena...kumbukeni, kosa si kosa ila kurudia kosa!
Miongoni mwa Mali za CCM ni pamoja na Jeshi la polisiView attachment 1604283
Huyu ndiye SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa PolisiView attachment 1604292
Hebu tumsikilize...
Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba huyu ni afande katika Jeshi la Polisi Tanzania au wenzangu mnasemaje?
Yaani ilani imechukua nafasi ya Katiba! Kumbe asemayo Mh. Tundu Antiphas Lissu ni ukweli mtupu! Kichinjio ni tarehe 28/10/2020! Tusifanye makosa tena...kumbukeni, kosa si kosa ila kurudia kosa!
Na wewe Shehullohi sijui utakuwa mtoto wa nani, wa baba mdogo? wa mjomba? wa shemeji? au wa kufikia tu. It is all in the genealogy. Mwisho wenu Oktoba 28, kumbuka sana hilo.Mipaka yote idhibitiwe baada ya uchaguzo huyu kibaaka wa robertison asije akatuponyoka na kuwaacha maadui wa ndani wanaomchangia kampeni zake peke yao wakipatiwa kibano.
Na wewe Shehullohi sijui utakuwa mtoto wa nani, wa baba mdogo? wa mjomba? wa shemeji? au wa kufikia tu. It is all in the genealogy. Mwisho wenu Oktoba 28, kumbuka sana hilo.
Yuko sahihi, chama tawala ni aina mpya ya ukoloni kwani hutumia nguvu nyingi kuwalazimisha wananchi kufuata matakwa ya wachache walioko madarakani, wakoloni mamboleo.Kinamtawala nani?
Hili jeshi la Polisi ni la kufumuliwa lote kabisa. Ama kweli ujinga ni gharama. Jeshi hili lina askari na viongozi wenyewe upeo mdogo sana mpaka aibu. Hili utopolo kwenye clip ni kielelezo tosha.View attachment 1604283
Huyu ndiye SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa PolisiView attachment 1604292
Hebu tumsikilize...
Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba huyu ni afande katika Jeshi la Polisi Tanzania au wenzangu mnasemaje?
Hiyo pia ni sababu tosha ya kutolionea haya hilo jiwe...tarehe 28/10/2020 iwe ni siku ya kuliweka jiwe kwenye kombeo na kulitupilia mbali huko kunakodaiwa lilitoka.. Hiyo miaka yake mitano imekuwa chungu karibu kwa kila Mtanzania na tumelia vya kutosha...bye bye jiwe!Subiri uone jiwe linaenda kumuongeza mshahara kabisa, stupid monkeys
Cheki nyomi ya Mkata leo tarehe 19/10/2020 karibu kesho Korogwe!Tarehe 28 tunamrudisha mhutu nyumbani kwao Burundi! Hatutaki dikteta la kiintarahamwe Tanzania
Haya mkuu lakini hebu cheki leo Mkata leoHiyo pia ni sababu tosha ya kutolionea haya hilo jiwe...tarehe 28/10/2020 iwe ni siku ya kuliweka jiwe kwenye kombeo na kulitupilia mbali huko kunakodaiwa lilitoka.. Hiyo miaka yake mitano imekuwa chungu karibu kwa kila Mtanzania na tumelia vya kutosha...bye bye jiwe!