Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Sijapanic Mangi. Nimeeleza ukweli
huo utopolo ndio unaita ukweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijapanic Mangi. Nimeeleza ukweli
Duh, yaani Hangaya siku hizi anasafiri hadi Marekani kwenda kupiga picha na Takataka! Tafadhali Patriot, mpe heshima kidogo Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania...kweli hujafa hujaumbika!Kimambi!!! Yaani huyu Takataka naye leo hii unaleta iwe ni topic ya kujadili hapa JF!
Hiyo tisa kumi alimtowa gerezani mbakaji na mlawiti Babu Seya
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Nilikua na mda sjaingia jf,kumbe siku hizi kuna jina jipya la Hangaya hapa mjini.Huyu bibi kamuumiza sana jpm na machozi ya watz yatamfata Hangaya popote hadi mauti.
Mataga utatagaNi cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe.
Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa chief arresting officer wa Tanzania?
Mataga utatagaAkanyage bongo aone
USSR
Pumbavu mbwa mkubwa.Mataga utataga
Tumsamehe mama, hajakomaa kiakiliIla Hangaya kupiga picha na Mange mtu ambaye alimtukana JPM matusi ya nguoni na wakati Hangaya akiwa Makamu hii haijakaa vizuri kabisa.
Daah, naona kabisa macho yananitoka machoziPamoja na kwamba Mange alimtukana Magufuli na aina yake ya uongozi matusi yote aliyoyajua yeye lakini tunaona mama Samia ambaye alikua makamu wa raisi kwa muda huo anatengewa muda wa kupiga picha na Mange. Kwa profile ya uraisi ilivyo kubwa sidhani kama hili lilitokea kwa bahati. Wale tunaofuatilia wanasiasa tulijue hilo, mwanasiasa akishapata anachohitaji kwa oponent wake basi mengine yote ni mbwembwe za kusherehesha.
Alikua anabweka kama mbwa mwenye njaa naona sasa ametulia baada ya kutupiwa fupaNa juzi kapewa uwaziri
Alikua anabweka kama mbwa mwenye njaa naona sasa ametulia baada ya kutupiwa fupa
Siro macho yatamtoka yaaniNi cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe.
Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa chief arresting officer wa Tanzania?
Ahahahaha sasa haya umeyatoa wapiMtakula Mafi yenu, mlijua ataishi na kutawala milele yule Bwana, haya ameshavunwa sasa mnaanza undezi na uongo kutwa kucha...na bado
Sheikh alisema Mange hatoboi nashangaa bado naendelea kumuona da Mange.Umenikumbusha alhadi Mussa Salumu sheikh wa Mzizima!
Ata Hanspope alitolewa gerezani mwaka 1995 na Mzee mwinyi kwa kosa la Uhaini!Hiyo tisa kumi alimtowa gerezani mbakaji na mlawiti Babu Seya
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Yule ni shekhe wa ubwabwa sio msikitiSheikh alisema Mange hatoboi nashangaa bado naendelea kumuona da Mange.
Nyerere alikua mwoga sana usikute hiyo kesi ilikua ya kupika tu. Nyerere ndiye kawafundisha CCM uhuni wote wanaofanya sasa hivi. Kuanzia wizi wa mali za umma na kuzifanya za chama na mengineyo mengiAta Hanspope alitolewa gerezani mwaka 1995 na Mzee mwinyi kwa kosa la Uhaini!