IGP Sirro alituahidi kumkamata Mange Kimambi kwa udi na uvumba, leo hii tunamuona akipiga picha na Rais wa JMT. Ndio kusema hakuikosea Jamhuri?

IGP Sirro alituahidi kumkamata Mange Kimambi kwa udi na uvumba, leo hii tunamuona akipiga picha na Rais wa JMT. Ndio kusema hakuikosea Jamhuri?

Da mange huyu huyu aliewafanya chadema wajione wameshashika ikulu?
 
Kimambi!!! Yaani huyu Takataka naye leo hii unaleta iwe ni topic ya kujadili hapa JF!
Duh, yaani Hangaya siku hizi anasafiri hadi Marekani kwenda kupiga picha na Takataka! Tafadhali Patriot, mpe heshima kidogo Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania...kweli hujafa hujaumbika!
 
Huyu bibi kamuumiza sana jpm na machozi ya watz yatamfata Hangaya popote hadi mauti.
Nilikua na mda sjaingia jf,kumbe siku hizi kuna jina jipya la Hangaya hapa mjini.
 
Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe.

Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa chief arresting officer wa Tanzania?
Mataga utataga
 
Ila Hangaya kupiga picha na Mange mtu ambaye alimtukana JPM matusi ya nguoni na wakati Hangaya akiwa Makamu hii haijakaa vizuri kabisa.
Tumsamehe mama, hajakomaa kiakili
Angoje tumfanyie mapinduzi 2025
Mwenyewe atashangaa, hawezi kutufanyia Mambo ya kitoto Kama hayo
 
Pamoja na kwamba Mange alimtukana Magufuli na aina yake ya uongozi matusi yote aliyoyajua yeye lakini tunaona mama Samia ambaye alikua makamu wa raisi kwa muda huo anatengewa muda wa kupiga picha na Mange. Kwa profile ya uraisi ilivyo kubwa sidhani kama hili lilitokea kwa bahati. Wale tunaofuatilia wanasiasa tulijue hilo, mwanasiasa akishapata anachohitaji kwa oponent wake basi mengine yote ni mbwembwe za kusherehesha.
Daah, naona kabisa macho yananitoka machozi
 
Hivi ndio amekwenda kwa mabeberu 😲😰😡! Eti mumchague mwanamke kuwa rais 25, seriously! Tuchague mwanamke badala ya amirijeshi mkuu 🤭🤷❕ Nyerere hebu kohoa kidogo basi!!! Sababu ni mwanamke 😲!?
 
Atamkamata akiwa hapa Tanzania...

Kwa marekani itakua ngumu...
 
Sir
Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe.

Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa chief arresting officer wa Tanzania?
Siro macho yatamtoka yaani
 
Ata Hanspope alitolewa gerezani mwaka 1995 na Mzee mwinyi kwa kosa la Uhaini!
Nyerere alikua mwoga sana usikute hiyo kesi ilikua ya kupika tu. Nyerere ndiye kawafundisha CCM uhuni wote wanaofanya sasa hivi. Kuanzia wizi wa mali za umma na kuzifanya za chama na mengineyo mengi
 
Back
Top Bottom