Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

Anajiandalia nafasi ya the hague.
Oktoba 28 kura zote kwa lissu.
Halafu wanavyomsumbua lissu ni sawa na kumpiga chura teke. Yaani ndio wanamuongezea wingi wa kura. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona anamtisha?
Ndio askari ni wajynga kwa sauti ya Tundu Lissu.
Huyu mzee naye ni mjynga.
Polisi wanapiga mabomu badala ya kuwaonya eti namfokea Lissu
 
Tutatumia dola kubaki madarakani alisikika katibu mkuu fulani....Africa ina safari ndefu kupiga hatua kimaendeleo achilia mbali suala la demokrasia
 
Tundu Lisu kayataka mwenyewe.
yaaani amekuwa akiwa tukana Askari hadi mimi mwenyewe naogopa!!!
halafu cha kushangaza wakati huo huo anataka ulinzi !! Duh!!
Tutajie hayo matusi na uthibitisho tuyaone
 
Mkuu kuna siku utakosa hata huo mkono kwa ajali

Utakula vipi?

Utaandika vipi?

Hujafa hujaumbuka

Usicheke mtu hata akiwa Baba yako au Mama yako kazeeka na hawezi kutembea vizuri au anasahau sahau mambo usicheke

Safari ni moja leo kwake kesho wewe tena pengine wewe ukawa na tatizo kubwa zaidi kesho tu

Hujafa hujaumbika
 
Mbona wewe umejificha nyuma ya keyboard kama kweli huogopi?
Natumaini mkuu shule ipo kichwani,kwani anayeongelewa hapa ni mm au lissu? Nimesema na narudia kusema kwamba Lissu ni mtu anajielewa na hategemei mtu yeyote kwenye kupata haki yake,anajua jinsi ya kuipigania mwenyewe pasipo kujali chochote au yeyote yule.
 
Naona sasa na IGP ameamua kuiharibia Ccm..
 

IGP Sirro acha vitisho Ndugu!
Acha kutumika na Chama Twawala.
Tumia busara kuwakanya Polisi wako waache uonevu kwa Tundu Lissu wa CHADEMA kwa KUMPIGA MABOMU huku wakimpendelea John Magufuli kumlinda kwa yaleyale anayofanya Tundu Lissu.
Kama Polisi mtatumika na kuwa chanzo Cha kuvuruga Uchaguzi huu basi ICC hamtaikwepa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…